TFF wanapanga Waamuzi wakike kumridhisha Rais Samia?

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Wala hauhitaji kuwa na elimu ya uchunguzi kujua kwanini TFF ya Karia inalazimisha kutumia waamuzi wa kike wasio na uwezo kuchezedha mechi kubwa na ngumu.

Jibu ni moja tu, TFF wameamua rasmi kuwa Chawa wa Mama. Full kujikomba ili kumuonyesha kwamba wanatekeleza kwa vitendo kauli mbiu ya kuwainua wanawake.

Hata huu mfumo mpya wa kucheza Ngao ya Jamii ni mbinu ya kukusanya pesa nyingi za kum-please mama.

Hatupingi wanawake kuchezesha mpira lakini kuna mechi ngumu wanawake hawawezi.

Hata huko duniani ambako haki sawa zilianzia hawawapi kuchezesha mechi ngumu.

TFF mnaenda kutuharibia mpira wetu kwa kukubali kutumika kisiasa.
 
Napinga wanawake kuchezesha mpira wa wanaume makosa huwa mengi mno na ya wazi sana hali inayoleta Mashaka hata hivyo wengi kama wa Leo hawana ndoto za kwenda mbali hivyo ni rahisi kufata maelekezo ya kariah
 
Napinga wanawake kuchezesha mpira wa wanaume makosa huwa mengi mno na ya wazi sana hali inayoleta Mashaka hata hivyo wengi kama wa Leo hawana ndoto za kwenda mbali hivyo ni rahisi kufata maelekezo ya kariah
Siku hizi Tatu na Rukyaa wanachezesha vizuri sana kuliko hata baadhi ya wanaume. Ni swala la uzoefu tu; nadhani Amina hajapata uzefu wa kutosha kuchezesha mashindano makubwa lakini Tatu na Rukyaa wanayaweza sana
 
Ile penati Rukya anawapa uto wakati rafu ilichezwa nje ya box ile mechi nayo ilikua utawala wa mama?
 
tatizo sio marefa wanawake Bali marefa wengi ni wabovu kuanzia huyo mwenyekiti wa kamati ya marefa nimemsoma kwenye magazeti anajisifia hakuna refa Bora kama yeye wakati hajawahi kufikiriwa hata kuchezesha kombe la Dunia inawezekana ubora wake aliupima kwenye mechi za ndondo.
Anatetea marefa waliofungwa waondokewe kifungo kuwa walifanya makosa ya kibinadamu inaonekana bahasha zinaanzia kwake ndio maana anatetea hao waamuzi wanaovurunda.
 
Tatizo nini?
 
TFF na Bodi ya Ligi kumejaa watu wenye akili za kijinga sana. Hivi hata huyu mwamuzi wao floppy wa leo, naye ataibeba tu simba kwa namna yoyote ile ili tu ishinde kama alivyofanya yule mwamuzi wao mwingine kimeo kwenye mechi dhidi ya Singida FG.
 
Siku hizi Tatu na Rukyaa wanachezesha vizuri sana kuliko hata baadhi ya wanaume. Ni swala la uzoefu tu; nadhani Amina hajapata uzefu wa kutosha kuchezesha mashindano makubwa lakini Tatu na Rukyaa wanayaweza sana
Bora hata huyo Tatu ana unafuu. Ila siyo huyo Amina na huyu Jonisia Rukya. Tena kama huyu Jonisia tangu atoke kwenye likizo yake ndefu ya kujifungua, amekuwa ni wa hovyo mpaka basi.

I wish waamuzi wote wa kike wangerudishwa tu kwenye ligi yao ya wanawake, ili wakachezeshe huko.
 
Nilifatilia ligi kuu England misimu 14 Kama wapo waamuz wa kike Basi Ni washika kibendera ila huko kwetu kila kitu tunakiiga tu na kuwapa watu wasio na uwezo na ujuzi kuongoza na kufanya maamuzi

Hi Ni hatari Sana mtu huna degree hata moja unapewa kuwa refa mkuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]
 
Sijaliona.

Hajaonesha walikosea wapi, naona anahororoja na kubwabwaja tu.
Wewe ndo popoma kabisa,inamaana mechi ya Simba na Singida hukuona jinsi yule dada ivyoivuruga kwa maamuzi mengi ya ovyo?
 
Hakuna Mwamuzi wa kike anayeweza kuchezesha Derby ya Kariakoo, hayupo tusidanganyane. Karia na genge lako mmejishauri vibaya.
 
Hatupingi wanawake kuchezesha mpira lakini kuna mechi ngumu wanawake hawawezi.

Mimi napinga.

Wanawake wachezeshe game za wanawake wenzao huko. Game la madume matupu mwanamke wa nini? Ujinga mtupu.

Juzi nimeona wachezaji wa Singida wamemzonga kidogo tu refarii wale linesmen wakafika mbiombio kuwazuia (kwasababu wanaamini mwamuzi wa kati yupo inferior), na mwamuzi alikuwa akitia ukali wa kupitiliza katika kusimamia maamuzi yake hata kama mabovu kwa sababu ya inferiority complex.

Tabu zote hizo za nini?
 
WacheZaji wawashike tako
Watakoma
Ninkushawishiana tu
Kamrembo kamebana tako na pensi laini kwa nn fc libolo asidinde
Wachezaji ni wasitahimilivu aisee
 
Mfumo dume umedumaza akili zako.
Nenda wew kwenye huo mfumo jike nyie ndio mnavuliwa ubingwa kisa kuwalidhisha wanawake.... Huko duniani uliona lini Manchester darby akapewa demu
 
Waacheni wapewe nafasi, ili wapate ujuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…