Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Wala hauhitaji kuwa na elimu ya uchunguzi kujua kwanini TFF ya Karia inalazimisha kutumia waamuzi wa kike wasio na uwezo kuchezedha mechi kubwa na ngumu.
Jibu ni moja tu, TFF wameamua rasmi kuwa Chawa wa Mama. Full kujikomba ili kumuonyesha kwamba wanatekeleza kwa vitendo kauli mbiu ya kuwainua wanawake.
Hata huu mfumo mpya wa kucheza Ngao ya Jamii ni mbinu ya kukusanya pesa nyingi za kum-please mama.
Hatupingi wanawake kuchezesha mpira lakini kuna mechi ngumu wanawake hawawezi.
Hata huko duniani ambako haki sawa zilianzia hawawapi kuchezesha mechi ngumu.
TFF mnaenda kutuharibia mpira wetu kwa kukubali kutumika kisiasa.