Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute kinsmen
Kwa sasa Africa mashariki na kati na pengine Africa nzima inaeleweka wazi hakuna beki wa kati kumzidi kitasa Dickson Job!
Huyu kijana ana uwezo mkubwa sana
Composure ya hali ya juu
Passing ability ya kuwazidi hata viungo wote pale simba
Marking ya hali ya juu sana,
Kama unafuatilia Job huwa hakabi mtu, yeye anaclear mpira chap
Akili yake kubwa ya kunusa hatari ni zaidi ya mbwa wa polisi
Kimo kifupi ila juu unamkuta anaruka
Wapo waliodai ni mfupi ila leo wanalia kimya kimya
Kuna beki zipo pale simba ni uchochoro mkubwa sana hasa yule aliyejiita ukuta wa yeriko na sasa amekuwa ukuta wa mabua .
Sasa TFF wanasubiri nini kumpa tuzo kijana kabla hata msimu kuisha? Maana hakuna zaidi yake hapa bongo.
Kuhusu kutoa assist kwa Job ni kawaida sana kwake achana na game na Al hilal hata kuna mechi na simba ngao ya jamii Job alipiga pasi ndefu kwa mayele kisha mayele akaingiza kichwa bila kulainisha
Simba waige mfano huu kutafuta mabeki wazuri sio uchochoro wanaoleta.