Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ndo kuchomesha kwenyewe mkubwa..!! Once Maguire, always MaguireHahaha hachomeshi huwa ni siku mbaya kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kuchomesha kwenyewe mkubwa..!! Once Maguire, always MaguireHahaha hachomeshi huwa ni siku mbaya kazini
Shida bacca huwa anakaba mtu sana badala ya mpiraAkikaa Job na Baka pale nyuma aloo 😅 😅, labda striker wazingue ila wale ni vyuma vya kazi
Japo baka anakatika mara chache na job huziba mianya
Na ndio chanzo cha baka kucheza rough nyingi, akiingia anaingia mazima, job angekua mrefu hata cm 10 angekua kaeshaondoka zamaniii 😄🙌Shida bacca huwa anakaba mtu sana badala ya mpira
Mfatilie job hapendi kugongana sana labda ikimlazimu kucheza kindava
Yeye ananusa na kuclear ball chap sana
Hapana mkuu sio hivoNdo kuchomesha kwenyewe mkubwa..!! Once Maguire, always Maguire
Job akiwa fit hawezi kukaa nje hata kidogo labda iwe match ambayo haina umuhimu ndiyo asicheze .Na ndio chanzo cha baka kucheza rough nyingi, akiingia anaingia mazima, job angekua mrefu hata cm 10 angekua kaeshaondoka zamaniii 😄🙌
Che malone hata afungishe tena mara mia job hawezi kumfikia.Na akimfikia natabiri wanaume kuota matiti wote.Che Malone huyu huyu Maguire au mwingine?