TFF wanatatizo gani jamani kwanini Simba haichezi katikati ya wiki kisa maandalizi?

Kuna 4G inanukia Tena kwa mzee wa lupaso [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Siku 18 kavu na mlikimbia....
Mlipokuwa yanga mnashiriki kimataifa uliwahi hoji hili?
Japo sisapoti team kukaa bila kucheza ila mnahoji kana kwamba kuna mazingira ya upendeleo wakati ni kawaida hapa bongo.
Kama Kuna kitu kibaya yanga ilikifanya miaka ya nyuma huko,kwani ni lazima Simba ifanye leo?
 
Sheria za bodi ya ligi Tz inaruhusu kama una match ya kimataifa kutocheza match yoyote ya VPL ndani ya siku 6, nadhani walivyokuwa wanaweka hizi sheria waliangalia zaidi mazingira yetu Tz na Africa kwa ujumla. Mfano, Namungo unaweza mwambia acheze match jumanne Lindi halafu jmosi ana match ya Kimataifa? Miundombinu yetu ya usafiri bado ni duni, safari zinachukua muda mrefu wakati hizo timu za Ulaya zinatumia tu chartered flights tena kwa ndege zinazomilikiwa na timu kabisa, wao watatumia 4hrs while Tz/ africa mtatumia ma siku na uchovu juu.
 
Mbna utopolo mnapenda kujificha kwenye ngozi ya mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…