TFF wapinga vitendo vya ubaguzi kwa mashabiki wa mpira wa miguu

TFF wapinga vitendo vya ubaguzi kwa mashabiki wa mpira wa miguu

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Shirikisho la Mpira wa Miguu limesema Shabiki yeyote anaruhusiwa kuingia kwenye mechi ya mpira, ikiwa havunji taratibu za mchezo huo

TFF imekemea kauli zinazolenga kuzuia haki ya mashabiki kuingia viwanjani ikisema vitendo hivyo havikubaliki katika mpira wa miguu, kwa mujibu wa Kanuni zao na zile za FIFA

Pia, Soma >>> Simba Sc: Hatutaruhusu shabiki wa Yanga Sc kuingia uwanjani kushabikia wageni

FB_IMG_1606995989569.jpg
 
Simba mna matatio makubwa mno...akili ndogo mno...yaani mnataka uwanja wajae Simba tu? Very stupid...stupid indeed...ni lazima sehemu ya kukaa wapenzi wa plateau itengwe, mpende msipende...ndiyo kanuni ya soka duniani...
Mashabiki wa Simba na Plateau ndio wanahitajika uwanjani. Acheni vurugu subirieni na nyie mkifuzu mtaingia kushangilia
 
No White or Red
Nenda kibanda umiza
Jifanye jeuri uje kwa Mkapa kiboyaboya TUTAKUGAWANA mle ndani.
 
Kitu pekee Haji, Mo na mwishowe Kaduguda wamesahau kuwaambia mashabiki wa Simba ni kwamba wasije wakarogwa kwenda mechi yoyote ya Yanga. Iwe ya ligi, FA, Mapinduzi Cup au hata za kirafiki.

Maana wanapenda kwenda mechi za Yanga ili wafanye fujo. Kwa hali hii waliyoanzisha, cha moto chawasubiri!
 
Nakumbuka mechi ya Yanga na Mazembe ambayo Manji alilipia uwanja mzima mashabiki wa Yanga waingie bure.Mashabiki wa Simba walijazana kibao na kushangilia wakaishangilia Mazembe.Hii hali wasiikasirikie kwani wameianzisha wenyewe wawe wapole.
 
TFF mbona hamjakemea mishabiki ya utopolo ilivyokuwa inamrushia makopo mshika kibendera kwenye mechi dhidi ya Azam?
Mashabiki wa utopolo wengi sio wastaarabu
 
Back
Top Bottom