Wanasimba ndo hamna akili, mechi ya kimataifa ndo mechi gani hiyo?
Ulitaka washangilie Simba?! Nadhani wewe ndiye ambaye huna akili kabisa.Tatizo mashabiki wa Yanga hawana akili, mechi ya kimataifa hii lakini wao wataingia kuishangilia Plateau.
Yanga ni matatizo matupu aseeUlitaka washangilie Simba?! Nadhani wewe ndiye ambaye huna akili kabisa
Lete sheria inayowazuia vinginevyo ungana na ManaraTatizo mashabiki wa Yanga hawana akili, mechi ya kimataifa hii lakini wao wataingia kuishangilia Plateau
Kama hauna kadi ya Simba baki nyumbani tuLete sheria inayowazuia vinginevyo ungana na Manara
Simba mna matatizo makubwa mno...akili ndogo mno...yaani mnataka uwanja wajae Simba tu? Very stupid...stupid indeed...ni lazima sehemu ya kukaa wapenzi wa plateau itengwe, mpende msipende...ndiyo kanuni ya soka duniani...Yanga ni matatizo matupu asee
Mashabiki wa Simba na Plateau ndio wanahitajika uwanjani. Acheni vurugu subirieni na nyie mkifuzu mtaingia kushangiliaSimba mna matatio makubwa mno...akili ndogo mno...yaani mnataka uwanja wajae Simba tu? Very stupid...stupid indeed...ni lazima sehemu ya kukaa wapenzi wa plateau itengwe, mpende msipende...ndiyo kanuni ya soka duniani...