TFF wapinga vitendo vya ubaguzi kwa mashabiki wa mpira wa miguu

Tatizo mashabiki wa Yanga hawana akili, mechi ya kimataifa hii lakini wao wataingia kuishangilia Plateau.
Naomba tukumbushe ni lini washabiki wa Simba waliingia uwanjani kuishabikia timu ya Yanga, pindi Yanga inawakilisha nchi.
 
Mbumbumbu SC wanapotezwa sana na uchizi wa afisa habari wao.
 
Sasa kama hakuna siku yeyote iliyotokea washabiki wa Simba wakaenda uwanjani kuishabikia Yanga, iweje leo uwatoe akili washabiki wa Yanga kisa tu kwenda kushabikia upinzani wakati ni jambo la miaka yote kwa Simba na Yanga kutosapotiana uwanjani?
 
mipango yenu inafahamika, kama mnakwenda kusapoti Simba basi vaeni Jersey za Simba
 
Niwakumbushe tu TFF hao Yanga sio Plateau ya Nigeria na wala haichezi na Simba nao sio wapinzani wao kwenye huo mchezo. Mashabiki wa Plateau naamini hawatabaguliwa ila hawa wasaliti wa nchi yaani Yanga ndio wamewekewa utaratibu wa kuwadhibiti.
 
Minitaka Uto wajae tena washangilie upande wa naigeria ili tuwapige wote,wao Uto na mabwana zao.
 
Ipo hivi, hakuna jezi ya Utopolo kuingia uwanjani. Waambieni kabisa watapoteza pesa zao
 
mipango yenu inafahamika, kama mnakwenda kusapoti Simba basi vaeni Jersey za Simba
Yanga wanaenda kuisapo plateau ni nani aliyesema Yanga inaenda kuisapoti Simba? Ni lini Simba na Yanga zimesapotiana? Unasoma halafu unashindwa kuelewa mtu alichoongea.
 
Ipo hivi, hakuna jezi ya Utopolo kuingia uwanjani. Waambieni kabisa watapoteza pesa zao
Kwahiyo zikivaliwa jezi za plateau ndio itakuwa sawa kwa upande wenu? Au kusipovaliwa kabisa jezi ya timu yoyote je?
 
Sisi tumeshasema code yetu ni White and Red ,Sasa wewe jichanganye uone tutamalizana humohumo ndani na wewe.
Hii mechi washabiki wa plateau hawaruhusiwi kuingia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…