TFF wapinga vitendo vya ubaguzi kwa mashabiki wa mpira wa miguu

TFF mbona hamjakemea mishabiki ya utopolo ilivyokuwa inamrushia makopo mshika kibendera kwenye mechi dhidi ya Azam?
Mashabiki wa utopolo wengi sio wastaarabu
Kila timu ina mashabiki wasio WASTAARABU....
 
Pelekeni hiyo mechi kwenye ule uwanja wa mudy, Mkapa stadium ni wa wananchi na kila mwananchi anaruhusiwa kuingia
Nyie 🐒🐒🐒fc mtajua hamjui Kama vp na nyie mje mtuzuie mechi yenu dhidi ya ihefu fc ila tarehe 4 no white or red hatuwataki kwani lazma muangalie mechi yetu??
 
Nyie [emoji205][emoji205][emoji205]fc mtajua hamjui Kama vp na nyie mje mtuzuie mechi yenu dhidi ya ihefu fc ila tarehe 4 no white or red hatuwataki kwani lazma muangalie mechi yetu??
Tushakuambia peleka uwanja wa Mudy na hatutakuja, lakini si ule wa wananchi uliojengwa kwa kodi zetu.
 
Wewe ni mjinga na mpumbavu pamoja...waliofanya hivyo kwa upande wa Yanga ni mashabiki wachache na siyo kiongozi....uongozi wa Yanga ulikemea kitendo kile....ila kwa upande wenu ni mropokaji wenu ambaye ni kiongozi wa Simba ndiye aliyetoa tamko lile la kuwazuia wanayanga wasiingie uwanjani...kauli ile ni ya kihuni na ya kishenzi...yaani inaleta mgawanyiko ndani ya jamii na taifa kwa ujumla wake..ni kauli yenye madhara makubwa kwa taifa...hivi unadhani wanayanga kwa maelfu wakija uwanjani siku ile na kuvamia madhara kwa Simba na soka ya Tanzania yatakuwaje?! Yaani huyo mropokaji wenu ilipaswa afungiwe kutojihusisha na soka...yaani anaropoka tu asijue madhara yake....halafu TFF inamlea..
 

Kuniita mjinga na mpumbavu hakufanyi hoja yako kuwa ya maana, jifunze kuheshimu watu na mawazo na mawazo yao hata ukiwa nyuma ya keyboard.

Uhuni unaofanywa na mashabiki wa Yanga unapaswa kuadhibiwa....inabidi wasiingie uwanjani hao wahuni pia walipe na faini...kukemea tu hakutoshi kwani tangu wakemewe mara ya kwanza vitendo hivyo viovu wamezidi kuvifanya...binafsi nasimamia msimamo wangu hao wahuni wasiingie kwenye mechi zetu mpaka wajirekebishe tena hata za ligi,kwani wanahatarisha usalama...dunia nzima watu wanafungiwa kwa vitendo hivyo ref case ya mashabiki wa Al ahly na Zamalek...msituletee siasa bana.
 
Unaowaita wahuni walishaadhibiwa ...baadhi wamepigwa marufuku wasiingie uwanja wowote wa soka kwa mwaka mmoja...Hilo la maneno ya mjinga na mpumbavu nenda kwenye kamusi uone maana yake...na huyo mropokaji wenu unaona ni sawa anavyotaka kuleta uaduni wa Yanga na Simba ndani ya jamii?! Yanga na Simba ni watani siyo maadui...
 
Sawa nimekuelewa,lakini kumbuka "Defamation" ni untrue staments zinazokua published kumchafua mtu....sidhani kama unaweza prove hayo maneno uliyoyaandika kama ni ya kweli...kuwa makini na mitandao hii...anyways Usiku mwema
 
Sawa nimekuelewa,lakini kumbuka "Defamation" ni untrue staments zinazokua published kumchafua mtu....sidhani kama unaweza prove hayo maneno uliyoyaandika kama ni ya kweli...kuwa makini na mitandao hii...anyways Usiku mwema
Sawa na wewe usiku mwema Ndugu yangu...inaelekea wewe ni mtu mstaarabu Sana...nimependa namna ulivyo-respond comments zangu...Safi Sana...deep from my heart..samahani kwa comment zangu za awali Kama nilikukwanza...thank you...ila mshaurini huyo msemaji wenu kuwa aache kauli za Shari....wako ambao hawawezi kuvumilia kauli zake...leo baadhi ya wanayanga wamewapokea plateau...Nina uhakika ni hasira ya mropokaji wenu
Sawa nimekuelewa,lakini kumbuka "Defamation" ni untrue staments zinazokua published kumchafua mtu....sidhani kama unaweza prove hayo maneno uliyoyaandika kama ni ya kweli...kuwa makini na mitandao hii...anyways Usiku mwema
 
Usijali ndugu yangu...mambo ya kawaida tu.
 
Simba mna matatizo makubwa mno...akili ndogo mno...yaani mnataka uwanja wajae Simba tu? Very stupid...stupid indeed...ni lazima sehemu ya kukaa wapenzi wa plateau itengwe, mpende msipende...ndiyo kanuni ya soka duniani...
Uwe na kadi yao ya uanachama ama viza kuonesha umekuja nao kutazama mpira.

Vinginevyo nyinyi ni mashabiki hewa ambao hatuwataki uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…