Msijisahaulishe...hivi karibuni mmekua mkipiga mashabiki wa Simba kwenye mechi zenu na hiyo ndo sababu...kama kuzomea na kushangilia mmefanya kwenye mechi yenu dhidi yetu na tumewapiga nne...mmeshangilia Nkana, Al ahly ,As vita,Js soura na tumeshinda...Simba hajawahi ogopa kelele za Chura tena wa Jangwani...ila kuweni wastaarabu...juzi tu mechi ya Azam mnarusha makopo...TFF inashindwa kuwawajibisha sababu za kisiasa ila tumewaonyesha kwamba hatuwataki kama mnalazimisha lazimisheni...pia mjirekebishe mmekuwa wapuuzi sana.