TFF watembeza faini kwa Simba na Yanga baada ya kutoka kigoma

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Habari ni hiyo hapo
FB_IMG_16276553997246606.jpg
FB_IMG_16276554054396996.jpg
FB_IMG_16276554105518208.jpg
FB_IMG_16276554165386918.jpg

FB_IMG_16276554165386918.jpg
 
adhabu ya Mukoko kutolewa kwa kadi nyekundu ndani ya mchezo haikutosha au ndo mwendo wa kubalance mambo..
 
Huku ni kubalansi mambo kwa wazi kabisa... Hao wengine hawakuwa na adhabu ndani ya uwanja.. Huyu Mukoko kapewa adhabu mbili kwa kosa moja
 
inachekesha,bas hata ile faulo ya tarehe 3 bocco dhidi ya mukoko itolewe faini au sababu refa wa ile mechi hakutoa adhabu?
 
Kwa hiyo hili la Mukoko Kigoma unaliona ni sawa kwa sababu ya hilo la tarehe 3?
 
hapana..najaribu tu kujiuliza kama adhabu zinatolewa kwa mfumo huo hasa zinazohusu faulo..yan unapewa adhabu ndani na nje ya uwanja! inashangaza au wanatafuta mapato kwa nguvu
 
Kama waliweza kumwadhibu Mukoko kwanini wameshindwa kumwadhibu mwamuzi na mwamunyeto kwa faulu ya wazi ambayo mwamuzi hakutoa adhabu yoyote badala yake akamwadhibu Chama aliyekuwa akimlalamikia.
TFF wanachotafuta ni mapato hamna kingine na siajabu wanaacha mambo haya makusudi ili wapate pesa.
 
Hii ikiwa endelevu itafuta upuuzi wa kujifanya mganga kasema tupite huku.

In fact kiasi cha pesa kiwe kikubwa zaidi.

Wachezaji kubaki na chupi siyo jambo la ajabu. Tujifunze kwa waliotuzidi.

Mchezaji amegewa red (au hata asingegewa) kwa faulo ya makusudi au la hayo mambo hua yanaishia hapo. Faini za nje ni kama angetoa maneno machafu.

Kama ripoti inasema hakutoa maneno machafu adhabu ya nje ya nini?

Kumbavu
 
Kwani hiyo fainali ilikua na thamani ya sh. Ngapi mbona kama TFF wanachukua zote sasa
 
Kwa hiyo yeye Arajiga alichezesha kwa usahihi? Na TFF wameridhika kabisa na jinsi alivyochezesha? Hata onyo tu kwake hakuna?
 
Hii ikiwa endelevu itafuta upuuzi wa kujifanya mganga kasema tupite huku.

In fact kiasi cha pesa kiwe kikubwa zaidi.

Wachezaji kubaki na chupi siyo jambo la ajabu. Tujifunze kwa waliotuzidi.

Mchezaji amegewa red (au hata asingegewa) kwa faulo ya makusudi au la hayo mambo hua yanaishia hapo. Faini za nje ni kama angetoa maneno machafu.

Kama ripoti inasema hakutoa maneno machafu adhabu ya nje ya nini?

Kumbavu
Hili tatizo Tff ndio wana lilea la kupita sehemu ambazo sio rasmi!!kwa kuweka kiwango cha laki 5!! Badirisha iwe milioni 30!!uone kama kuna timu itakayoendekeza ujinga huo!!
 
Back
Top Bottom