TFF Watumie busara kuahirisha mechi ya ngao ya jamii kati ya Simba na Yanga

TFF Watumie busara kuahirisha mechi ya ngao ya jamii kati ya Simba na Yanga

King Jody

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
1,834
Reaction score
3,456
Timu moja iko imara nyingine inajitafuta, naona kabisa kuna timu inaenda kudhalilishwa hiyo tar 8/08/2024,

Nawashauri Tff waifute mechi hii ili ibaki mechi kati ya Azam fc na Coastal Union fc

Nb. sijataja timu.
 
Nikiwa kama shabiki wa Yanga na pia mdau wa michezo; sikubaliani na hiki ulichokiandika. Unless otherwise, umeleta mada yako katika hali ya utani. Ila ukija kwenye uhalisia; mpira hauko hivyo.
Utani kidogo mkuu, hatuwezi kuwa serious muda wote
 
Itakuwa mechi baina ya wanaume na wavulana
 
Back
Top Bottom