TFF Watumie busara kuahirisha mechi ya ngao ya jamii kati ya Simba na Yanga

hayo matokeo yenu kwenye fikra zenu kabla ya mechi kuchezwa, angalia yasije yakakufedhehesha.
derby ni mechi inayohitaji nidhamu na siyo dharau.
Mkuu umesema kweli. Kuna mechi fulani ya Simba vs Yanga nadhani ni msimu wa 2019/20. Kipindi hicho Simba walikuwa on fire sana, basi walipiga mikwara kuwa Yanga wakiingia uwanjani milango yote ifungwe funguo za milango akae nazo IGP. Nakumbuka Kocha wa Yanga alikuwa Charles Bonphace Mkwasa "Master" aliwajibu Simba kuwa wasije na matokeo mfukoni maana watahatarisha maisha yao kwa kuzimia pale itakapotokea matokeo ni tofauti na matarajio yao. Kilichotokea uwanjani siku hiyo hadi kipindi cha pili kinaanza Yanga alikuwa amepigwa 2-0. Mara baada ya goli la pili kuingia Yanga walifunga goli la kwanza na baadaye la pili. Tukashangaa Simba wameanza kuutafuta mpira kwa tochi. Na kama Yanga wangeongeza bidii kidogo wangeweza kupata goli la tatu. Mchezo ulimalizika kwa sare ya 2-2.
 
upo sahihi kabisa mkuu
 
Pre season Match ;
Simba Sc
Match 3,
Goals 7 [ kufunga ]
Goals 2 [ kufungwa ]

Pre season ;
Yanga Sc
Match 3
Goals 6 [ kufunga ]
Goals 2 [ kufungwa ]

Chambua......
 
Pre season Match ;
Simba Sc
Match 3,
Goals 7 [ kufunga ]
Goals 2 [ kufungwa ]

Pre season ;
Yanga Sc
Match 3
Goals 6 [ kufunga ]
Goals 2 [ kufungwa ]

Chambua......
Ainisha na timu walizocheza nazo, hapo kuna timu ilikuwa inacheza wauza vocha na vijana wa mtaani
 
Back
Top Bottom