Atafute pesa amekuambia ameipoteza? Usikute hapo unaishi kwa dadako una kazi ya kumhesabia shemeji yako bao anazompiga dadakoWewe tafuta pesa. Achana na vitu ambavyo havikusaidiii.
Mnaotaka takwimu mnawivu na yanga kushinda mara 29. Basi tufanye Simba mmeshinda mara 35. Hongereni
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa tafuta wewe usiyenazoWewe tafuta pesa. Achana na vitu ambavyo havikusaidiii.
Mnaotaka takwimu mnawivu na yanga kushinda mara 29. Basi tufanye Simba mmeshinda mara 35. Hongereni
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha taarabu utopolo hajampita makombe simbaWewe tafuta pesa. Achana na vitu ambavyo havikusaidiii.
Mnaotaka takwimu mnawivu na yanga kushinda mara 29. Basi tufanye Simba mmeshinda mara 35. Hongereni
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa tunashukuru Hongereni mabingwa wa kihistoriaAcha taarabu YANGA hajampita makombe simba
Basi tufanye kuwa Simba amechukua mara zaidi ya 40 ubingwa wa nchi! Yaan baada ya kuambulia 0 msimu huu mmekuwa na gubu balaa!!Acha taarabu utopolo hajampita makombe simba
1936 ligi haikuwepo. Ligi imeanza mwaka 65. Mleta uzi kataja hapo juu.Kwa Nini waanzie hapo na sio miaka ambayo team zilianzoshwa!?mi nashauri waanzie 1936
Msimu WA pili bila kombe. Gubu limezidiBasi tufanye kuwa Simba amechukua mara zaidi ya 40 ubingwa wa nchi! Yaan baada ya kuambulia 0 msimu huu mmekuwa na gubu balaa!!
timu zilikua zinafanya nini kabla ya huo mwaka1936 ligi haikuwepo. Ligi imeanza mwaka 65. Mleta uzi kataja hapo juu.
Sijui ila, za gongowazi zinatoka kinyeoniHivi hizi akili za Makolo zinatokaga nyuma au kichwani?
Awoteeeeeee. Kumbe umemstukia eehhhAtafute pesa amekuambia ameipoteza? Usikute hapo unaishi kwa dadako una kazi ya kumhesabia shemeji yako bao anazompiga dadako
Mabonanza tu.timu zilikua zinafanya nini kabla ya huo mwaka
Kama lile la Abiola?Mabonanza tu.
Hapana, kama lile la luza.Kama lile la Abiola?