TFF wekeni takwimu sawa kuhusu mabingwa tangu ligi imeanza 1965

TFF wekeni takwimu sawa kuhusu mabingwa tangu ligi imeanza 1965

Wewe tafuta pesa. Achana na vitu ambavyo havikusaidiii.

Mnaotaka takwimu mnawivu na yanga kushinda mara 29. Basi tufanye Simba mmeshinda mara 35. Hongereni

Sent using Jamii Forums mobile app
Atafute pesa amekuambia ameipoteza? Usikute hapo unaishi kwa dadako una kazi ya kumhesabia shemeji yako bao anazompiga dadako
 
Mbona hii ilishaisha tangu zamani takwimu zipo google waulize
Hii ni Karne ya 21 sio 20
 
Acha taarabu utopolo hajampita makombe simba
Basi tufanye kuwa Simba amechukua mara zaidi ya 40 ubingwa wa nchi! Yaan baada ya kuambulia 0 msimu huu mmekuwa na gubu balaa!!
 
Back
Top Bottom