TFF ya Malinzi yashikishwa adabu

TFF ya Malinzi yashikishwa adabu

Mapato yapo pale pale.
TRA.
DRFA
TFF
CAF.
Ticket Feki za Viongozi wa TFF Mh Diwani wa Mbagala kuu Ndugu Yusuph Mehboob Manji hakulipia. Alicholipia ni Malipo halali yaliyokwenda kwny Accounts za Taasisi husika
 
Wote sina imani nao, ujanja tu kujidai wana bifu ili wawasahaulishe watu huku wanapanga Marefa na ratiba ya upendeleo.

Hao wote wasanii
 
Ndugu hakuna kilichoingia bure hapo. Manji amenunua mechi ile kalipia siti zote za uwanjani.

Tambua kuwa:
Kuna makato ya uwanja
Kuna kodi ya Magu
Kuna hela ya CAF.

Kwa hiyo maji hana mamlaka ya kusema watu waingie bure isipokuwa tu pale akinunua siti zote na kwa hiyo mapato ya wadau wote wa mchezo yako palepale.

Cc. Odili platozoom Rio Tinto Pohamba makedonia bruno castol jd41 Enzymes BONGOLALA
Manji kanunua shilling ngap!!?
Caf hupanga viingilio!!?
Maana timu hukatwa kwa walicho ingiza,
Manji kipindi kile alikuwa ni mwana chama aliye walipa uongozi wa Yanga
Sasa hivi yeye ndo kiongozi wa Yanga hawezi kujiuzia mechi

Yaan ki mahesabu yanga hawajaingiza kitu hawakatwi kitu
Na logic ndo hiyo

Na CAF hawana mamlaka ya kukupangia utakacho pata
Wana kata kwenye utakacho pata
 
Usichoke hiyo habari ni ya uzushi na imekanushwa na Jerry Muro! Hapo mapato ni 0 kwa hiyo mgawanyo ni 0
Asante mkuu Mwaliga kwa updates. Halafu utakua umewahi kuishi nyamililo au nyamahona ninavyokuona. (natania tu)
 
Usichoke hiyo habari ni ya uzushi na imekanushwa na Jerry Muro! Hapo mapato ni 0 kwa hiyo mgawanyo ni 0
Umesahau na POINT NI 0.
Ila hii 0 ya point haigawanywi ni ya Yanga peke yao.
MANJI alijua ule ni msiba na msibani watu hawatoi kiingilio.
Ndio mukome kuacha kazi zenu alfajiri kwenda uwanja wa taifa.
Toka lini gongo wazi na mpira wa kimataifa.
Hiyo ndio faida ya kununu marefa na timu ktk ligi yenu ya hapa.
Munawaonea kina Ndanda na Mgambo na marefa wenu njaa mukitia pua tu kwa timu za nje munachezea kichapo.
 
Manji kanunua shilling ngap!!?
Caf hupanga viingilio!!?
Maana timu hukatwa kwa walicho ingiza,
Manji kipindi kile alikuwa ni mwana chama aliye walipa uongozi wa Yanga
Sasa hivi yeye ndo kiongozi wa Yanga hawezi kujiuzia mechi

Yaan ki mahesabu yanga hawajaingiza kitu hawakatwi kitu
Na logic ndo hiyo

Na CAF hawana mamlaka ya kukupangia utakacho pata
Wana kata kwenye utakacho pata
Kwa hiyo na huo uwanja ni wa Manji au baba yake na Manji. Unadhani huo ni uwanja wa Kaunda pale jangwani ama. Hebu tumia akili zako japo robo tu bwanamdogo.

Anaepanga viingilio vya mechi ni Yanga au msimamizi wa mashindano? Huwa ninachukizwa sana na mijitu inayoabudu watu na kushindwa kutumia akili zao.
 
Umesahau na POINT NI 0.
Ila hii 0 ya point haigawanywi ni ya Yanga peke yao.
MANJI alijua ule ni msiba na msibani watu hawatoi kiingilio.
Ndio mukome kuacha kazi zenu alfajiri kwenda uwanja wa taifa.
Toka lini gongo wazi na mpira wa kimataifa.
Hiyo ndio faida ya kununu marefa na timu ktk ligi yenu ya hapa.
Munawaonea kina Ndanda na Mgambo na marefa wenu njaa mukitia pua tu kwa timu za nje munachezea kichapo.
Na nyinyi mbwa koko fc, ambao hamnunui marefa mpo mashindano gani? Au mnamuunga mkono Shaffih Dauda katika Dr Mwaka ndondo cup?
 
Kwa hiyo na huo uwanja ni wa Manji au baba yake na Manji. Unadhani huo ni uwanja wa Kaunda pale jangwani ama. Hebu tumia akili zako japo robo tu bwanamdogo.

Anaepanga viingilio vya mechi ni Yanga au msimamizi wa mashindano? Huwa ninachukizwa sana na mijitu inayoabudu watu na kushindwa kutumia akili zao.
Acha mihemko kiongozi, Yanga ndio wenye mamlaka ya kupanga viingilio lkn kama kuna uharibifu ulitokea Yanga ndio watakua responsible kufidia gharama za uharibifu! TFF na TRA hawana chao hapo
 
Sio mihemko, tatizo vichwa vyenu vigumu sana. Basi tufanye hivyo baki na hicho unachokielewa, after hakiongezi tahamani katika maisha yangu wala ya kwako. Ikiwa kina add value katika maisha yako poa endelea kujadili lakini kwangu ilikuwa kuchangamsha jukwaa kwa kuelezea uhalisia wa suala lenyewe.
 
mkuu unaandika kishabiki sana
Acha mihemko kiongozi, Yanga ndio wenye mamlaka ya kupanga viingilio lkn kama kuna uharibifu ulitokea Yanga ndio watakua responsible kufidia gharama za uharibifu! TFF na TRA hawana chao hapo
 
Usichoke hiyo habari ni ya uzushi na imekanushwa na Jerry Muro! Hapo mapato ni 0 kwa hiyo mgawanyo ni 0
Yaani wewe ndio bure kabisa. Akikanusha Jenny Mro ndio unachukulia ni tamko rasmi la TFF? Yaani mdaiwa anakanusha na wewe unachukulia kama source ya habari? Ungesema TFF imekanusha hapo sawa. Jipangeni kumchangia YM hizo sh. 530M ili CAF, TFF, DRFA, Wachina na TRA wachukue chao. Ndio matokeo ya kuwa na uongozi usioelewa mambo!
 
Umesahau na POINT NI 0.
Ila hii 0 ya point haigawanywi ni ya Yanga peke yao.
MANJI alijua ule ni msiba na msibani watu hawatoi kiingilio.
Ndio mukome kuacha kazi zenu alfajiri kwenda uwanja wa taifa.
Toka lini gongo wazi na mpira wa kimataifa.
Hiyo ndio faida ya kununu marefa na timu ktk ligi yenu ya hapa.
Munawaonea kina Ndanda na Mgambo na marefa wenu njaa mukitia pua tu kwa timu za nje munachezea kichapo.
Esperanca nao marefa walinunuliwa? Jaribu kutumia ubongo wako hata kwa 1%
 
Back
Top Bottom