pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Km mashabiki wanapata furaha kutokana uongozi wake muache haimiliki maana mkiambiwa mchangie buku kumi tu kwa mwaka hamchangii ss unacholalamikia nnManji anaifanya Yanga kama Timu binafsi, na wanayanga wanafurahi
Ticket Feki za Viongozi wa TFF Mh Diwani wa Mbagala kuu Ndugu Yusuph Mehboob Manji hakulipia. Alicholipia ni Malipo halali yaliyokwenda kwny Accounts za Taasisi husikaMapato yapo pale pale.
TRA.
DRFA
TFF
CAF.
Manji kanunua shilling ngap!!?Ndugu hakuna kilichoingia bure hapo. Manji amenunua mechi ile kalipia siti zote za uwanjani.
Tambua kuwa:
Kuna makato ya uwanja
Kuna kodi ya Magu
Kuna hela ya CAF.
Kwa hiyo maji hana mamlaka ya kusema watu waingie bure isipokuwa tu pale akinunua siti zote na kwa hiyo mapato ya wadau wote wa mchezo yako palepale.
Cc. Odili platozoom Rio Tinto Pohamba makedonia bruno castol jd41 Enzymes BONGOLALA
Usichoke hiyo habari ni ya uzushi na imekanushwa na Jerry Muro! Hapo mapato ni 0 kwa hiyo mgawanyo ni 0Hapa nimechoka kabisa kwa hii habari.
Sio kweli! Mechi imeingiza 0 na mapato ni 0,bahati nzuri hata Jerry Muro amelizungumzia hiliMapato yapo pale pale.
TRA.
DRFA
TFF
CAF.
sawaaaa lingineManji anaifanya Yanga kama Timu binafsi, na wanayanga wanafurahi
Umesahau na POINT NI 0.Usichoke hiyo habari ni ya uzushi na imekanushwa na Jerry Muro! Hapo mapato ni 0 kwa hiyo mgawanyo ni 0
Kwa hiyo na huo uwanja ni wa Manji au baba yake na Manji. Unadhani huo ni uwanja wa Kaunda pale jangwani ama. Hebu tumia akili zako japo robo tu bwanamdogo.Manji kanunua shilling ngap!!?
Caf hupanga viingilio!!?
Maana timu hukatwa kwa walicho ingiza,
Manji kipindi kile alikuwa ni mwana chama aliye walipa uongozi wa Yanga
Sasa hivi yeye ndo kiongozi wa Yanga hawezi kujiuzia mechi
Yaan ki mahesabu yanga hawajaingiza kitu hawakatwi kitu
Na logic ndo hiyo
Na CAF hawana mamlaka ya kukupangia utakacho pata
Wana kata kwenye utakacho pata
Na nyinyi mbwa koko fc, ambao hamnunui marefa mpo mashindano gani? Au mnamuunga mkono Shaffih Dauda katika Dr Mwaka ndondo cup?Umesahau na POINT NI 0.
Ila hii 0 ya point haigawanywi ni ya Yanga peke yao.
MANJI alijua ule ni msiba na msibani watu hawatoi kiingilio.
Ndio mukome kuacha kazi zenu alfajiri kwenda uwanja wa taifa.
Toka lini gongo wazi na mpira wa kimataifa.
Hiyo ndio faida ya kununu marefa na timu ktk ligi yenu ya hapa.
Munawaonea kina Ndanda na Mgambo na marefa wenu njaa mukitia pua tu kwa timu za nje munachezea kichapo.
Acha mihemko kiongozi, Yanga ndio wenye mamlaka ya kupanga viingilio lkn kama kuna uharibifu ulitokea Yanga ndio watakua responsible kufidia gharama za uharibifu! TFF na TRA hawana chao hapoKwa hiyo na huo uwanja ni wa Manji au baba yake na Manji. Unadhani huo ni uwanja wa Kaunda pale jangwani ama. Hebu tumia akili zako japo robo tu bwanamdogo.
Anaepanga viingilio vya mechi ni Yanga au msimamizi wa mashindano? Huwa ninachukizwa sana na mijitu inayoabudu watu na kushindwa kutumia akili zao.
Inauma eeh!!Na nyinyi mbwa koko fc, ambao hamnunui marefa mpo mashindano gani? Au mnamuunga mkono Shaffih Dauda katika Dr Mwaka ndondo cup?
Sio mihemko, tatizo vichwa vyenu vigumu sana. Basi tufanye hivyo baki na hicho unachokielewa, after hakiongezi tahamani katika maisha yangu wala ya kwako. Ikiwa kina add value katika maisha yako poa endelea kujadili lakini kwangu ilikuwa kuchangamsha jukwaa kwa kuelezea uhalisia wa suala lenyewe.Acha mihemko kiongozi, Yanga ndio wenye mamlaka ya kupanga viingilio lkn kama kuna uharibifu ulitokea Yanga ndio watakua responsible kufidia gharama za uharibifu! TFF na TRA hawana chao hapo
muro huyu ambaye hakwenda semina elekezi?Usichoke hiyo habari ni ya uzushi na imekanushwa na Jerry Muro! Hapo mapato ni 0 kwa hiyo mgawanyo ni 0
Acha mihemko kiongozi, Yanga ndio wenye mamlaka ya kupanga viingilio lkn kama kuna uharibifu ulitokea Yanga ndio watakua responsible kufidia gharama za uharibifu! TFF na TRA hawana chao hapo
Yaani wewe ndio bure kabisa. Akikanusha Jenny Mro ndio unachukulia ni tamko rasmi la TFF? Yaani mdaiwa anakanusha na wewe unachukulia kama source ya habari? Ungesema TFF imekanusha hapo sawa. Jipangeni kumchangia YM hizo sh. 530M ili CAF, TFF, DRFA, Wachina na TRA wachukue chao. Ndio matokeo ya kuwa na uongozi usioelewa mambo!Usichoke hiyo habari ni ya uzushi na imekanushwa na Jerry Muro! Hapo mapato ni 0 kwa hiyo mgawanyo ni 0
Esperanca nao marefa walinunuliwa? Jaribu kutumia ubongo wako hata kwa 1%Umesahau na POINT NI 0.
Ila hii 0 ya point haigawanywi ni ya Yanga peke yao.
MANJI alijua ule ni msiba na msibani watu hawatoi kiingilio.
Ndio mukome kuacha kazi zenu alfajiri kwenda uwanja wa taifa.
Toka lini gongo wazi na mpira wa kimataifa.
Hiyo ndio faida ya kununu marefa na timu ktk ligi yenu ya hapa.
Munawaonea kina Ndanda na Mgambo na marefa wenu njaa mukitia pua tu kwa timu za nje munachezea kichapo.