TFF ya shabiki na mwanachama wa Simba (Wallace Karia) imeanza kuibeba Yanga.?

TFF ya shabiki na mwanachama wa Simba (Wallace Karia) imeanza kuibeba Yanga.?

Kwa hivyo tuna hitimishaje hili suala.?

maana kipindikileilikuwa Malinzi anaipendelea Yanga, Je leo tutakuwa tumekosea kusema shabiki/mwanachama ndakindaki wa Simba Rais wa TFF Bw W. Karia anaipendelea Yanga...?
Zama za kubebwa na magoli ya mkono za Tambwe hakuna tena, cheza mpira otherwise kamtoe Malinzi kama una ubavu huo
 
Utasema mengi sana. Lakini elewa zile hila za Tifuatifua kwa Klabu Bora Afrika Simba SC.

Hakuna tena..!

Klabu bora Africa? Kwa mafanikio gani yaani.?

Au baada ya kumfunga Yanga bao 5 tayari umejiona ni bora barani Afrika?
 
Zama za kubebwa na magoli ya mkono za Tambwe hakuna tena, cheza mpira otherwise kamtoe Malinzi kama una ubavu huo

Hata Rais wako Pombe Magu ameingia madarakani kwa bao la mkono. Sembuse Yanga.?

Lile bao la sabuni hamtokuja lisahau kamwe kwenye maisha yenu.😀😀😀😀
 
Habari humu.

Week iliyoisha imeshuhudia mabingwa watetezi, na timu kubwa na zenye historia kubwa ya kutwaa mataji kwenye Ligi zao wakitoa sare, haswa Mabingwa watetezi wakitoa sare kwenye michezo yao ya LigiKuu.

1. Real Madrid - Valencia
2. Dar Young Africans - Lipuli

Hizi zote zilishikwa shati na klabu za ligi huku zikiambulia sare.

Kwenye pambano ya Ligikuu Bara, mechi ya ufunguzi kati ya Yanga vs FCLipuli kulishuhudiwa moja ya Header safi kabisa iliyopigwa na Donald Ngoma ikimshinda mlinzi wa lango la FCLipuli na kugonga besela la juu na mwisho ukatua chini ikiwa ndani ya mstari wa golini.

Picha mbalimbali za marudio haswa ile ya karibu sana pale golini liyokuwa inaonyesha mahala ambapo mpira umedunda chini na hata kila mtu akaamini kuwa lilikuwa bao sahihi kwa kuwa hata wachezaji walio karibu walinyoosha mkono juu kuashiria ni bao halali.

Je, kutokea kwa minung'uniko kuwa lile halikuwa bao halisi kunathibitisha kuwa uongozi wa aliyekuwa shabiki na mwanachama wa Simba Bw Wallace Karia ameamua kuandaa m
waamuzi rasmi kwenye mechi za watani zake ili wawabebe watani zake kwa lengo lwa kuwasaidia wabebe ndoo kwa mara nyingine tena...?

Mbona yanatokea sana, juzi kwenye mechi ya Man United vs Leicester City. Kipa wa Leicester aliwai kutoka wakati akidaka mkwaju wa penalti lakini refa alikausha.
Haya mambo yanatokea sana kwenye soka na sio umrishie lawama rais wa tff.
 
Bado nangoja wale wanao sema Yanga SC inabebwa na maafisa wa uamuzi uwanjani.
 
Yanga dume, mashabiki wa Simba huwa hawajielewi
Wanazidiwa kila kitu lakini wakute wanavyojisifia unajua kabisa haya majinga
Nimefurahi tumeanza vizuri mwendo huu huu mwisho tunanyanyua ndoo tunawaacha wakisusa au kukimbilia FIFA
 
Klabu bora Africa? Kwa mafanikio gani yaani.?

Au baada ya kumfunga Yanga bao 5 tayari umejiona ni bora barani Afrika?
Simba SC ni Klabu Bora Afrika kwa vile

Nimecheza Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika. Fainali Kombe la Shirikisho.

Weka ubora wako nawe...!
 
Simba SC ni Klabu Bora Afrika kwa vile

Nimecheza Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika. Fainali Kombe la Shirikisho.

Weka ubora wako nawe...!

Hizo ni "zilipendwa".

Huwezi kuwa bora tu kwa kushiriki. Makanikio yanapimwa kwa kufikia lengo.

Leo hii Arsenal imeshiriki mara kibao fainali za UEFA zaidi ya Aston Villa ila Aston Villa amemshinda Arsenal kwa mafanikio ya soka la barani ulaya (UEFA).

Arenal (0 - UEFA Cup)
Aston Villa (1 - UEFA Cup)
 
OK.. Tuwekee zilipendwa za kwako basi. Au huna?
 
OK.. Tuwekee zilipendwa za kwako basi. Au huna?

Zangu sio zilipendwa.

ni Zinapenda na Zinaendelea kupendwa tu.

Mataji ya Ligi 27 sio mchezo.
Mataji ya Ngao ya jamii mara 5 sio mchezo.

Hebu nitajie Local tittles ambazo unaweza jivunia nazo dhidi ya yanga. ZanzibaCup...etc.
 
Ha ha haaa. Unatia huruma mno kwani Ligi Kuu Tanzania Bara

Sijawahi kushinda? Eleza ubora wako Afrika
 
Ha ha haaa. Unatia huruma mno kwani Ligi Kuu Tanzania Bara

Sijawahi kushinda? Eleza ubora wako Afrika
Mbona hutaji idadi ya VPL tittles ulizoshinda...au ni sawa na miaka ya teenager amayeelekea kupevuka..?
 
Povu tuwaachi wakina Diamond & Alikiba.

Je ni kweli shabikimwenzenu wa Simba (Karia) ameanza kuonyesha mahaba na Yanga au ni macho yangu yana makengeza.?
Kwanini unaamini mm Ni mshabiki WA Simba?pitia thread zangu hapa jamvini upate uhakika.
 
Back
Top Bottom