Zama za kubebwa na magoli ya mkono za Tambwe hakuna tena, cheza mpira otherwise kamtoe Malinzi kama una ubavu huoKwa hivyo tuna hitimishaje hili suala.?
maana kipindikileilikuwa Malinzi anaipendelea Yanga, Je leo tutakuwa tumekosea kusema shabiki/mwanachama ndakindaki wa Simba Rais wa TFF Bw W. Karia anaipendelea Yanga...?
Si mgeni huyo ni member long time, isipokuwa ameamua kumpuliza tu.Mkuu wewe mgeni nn? Demigod ni yanga damu huyo ndio maana anakuuliza umesoma nyuzi zingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasema mengi sana. Lakini elewa zile hila za Tifuatifua kwa Klabu Bora Afrika Simba SC.Au tuseme Marefa wa Jamal Malinzi wanaipendelea Yanga.
Zama za kubebwa na magoli ya mkono za Tambwe hakuna tena, cheza mpira otherwise kamtoe Malinzi kama una ubavu huo
Habari humu.
Week iliyoisha imeshuhudia mabingwa watetezi, na timu kubwa na zenye historia kubwa ya kutwaa mataji kwenye Ligi zao wakitoa sare, haswa Mabingwa watetezi wakitoa sare kwenye michezo yao ya LigiKuu.
1. Real Madrid - Valencia
2. Dar Young Africans - Lipuli
Hizi zote zilishikwa shati na klabu za ligi huku zikiambulia sare.
Kwenye pambano ya Ligikuu Bara, mechi ya ufunguzi kati ya Yanga vs FCLipuli kulishuhudiwa moja ya Header safi kabisa iliyopigwa na Donald Ngoma ikimshinda mlinzi wa lango la FCLipuli na kugonga besela la juu na mwisho ukatua chini ikiwa ndani ya mstari wa golini.
Picha mbalimbali za marudio haswa ile ya karibu sana pale golini liyokuwa inaonyesha mahala ambapo mpira umedunda chini na hata kila mtu akaamini kuwa lilikuwa bao sahihi kwa kuwa hata wachezaji walio karibu walinyoosha mkono juu kuashiria ni bao halali.
Je, kutokea kwa minung'uniko kuwa lile halikuwa bao halisi kunathibitisha kuwa uongozi wa aliyekuwa shabiki na mwanachama wa Simba Bw Wallace Karia ameamua kuandaa m
waamuzi rasmi kwenye mechi za watani zake ili wawabebe watani zake kwa lengo lwa kuwasaidia wabebe ndoo kwa mara nyingine tena...?
Mbona yanatokea sana, juzi kwenye mechi ya Man United vs Leicester City. Kipa wa Leicester aliwai kutoka wakati akidaka mkwaju wa penalti lakini refa alikausha.
Haya mambo yanatokea sana kwenye soka na sio umrishie lawama rais wa tff.
Bado nangoja wale wanao sema Yanga SC inabebwa na maafisa wa uamuzi uwanjani.
Simba SC ni Klabu Bora Afrika kwa vileKlabu bora Africa? Kwa mafanikio gani yaani.?
Au baada ya kumfunga Yanga bao 5 tayari umejiona ni bora barani Afrika?
Simba SC ni Klabu Bora Afrika kwa vile
Nimecheza Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika. Fainali Kombe la Shirikisho.
Weka ubora wako nawe...!
OK.. Tuwekee zilipendwa za kwako basi. Au huna?Hizo ni "zilipendwa".
Huwezi kuwa bora tu kwa kushiriki. Makanikio yanapimwa kwa kufikia lengo.
Leo hii Arsenal imeshiriki mara kibao fainali za UEFA zaidi ya Aston Villa ila Aston Villa amemshinda Arsenal kwa mafanikio ya soka la barani ulaya (UEFA).
Arenal (0 - UEFA Cup)
Aston Villa (1 - UEFA Cup)
Sana tu.. Wacheze MpiraHaya ni mambo ya kitoto sasa.
OK.. Tuwekee zilipendwa za kwako basi. Au huna?
Ha ha haaa. Unatia huruma mno kwani Ligi Kuu Tanzania BaraZangu sio zilipendwa.
ni Zinapenda na Zinaendelea kupendwa tu.
Mataji ya Ligi 27 sio mchezo.
Mataji ya Ngao ya jamii mara 5 sio mchezo.
Hebu nitajie Local tittles ambazo unaweza jivunia nazo dhidi ya yanga. ZanzibaCup...etc.
Kwanini unaamini mm Ni mshabiki WA Simba?pitia thread zangu hapa jamvini upate uhakika.Povu tuwaachi wakina Diamond & Alikiba.
Je ni kweli shabikimwenzenu wa Simba (Karia) ameanza kuonyesha mahaba na Yanga au ni macho yangu yana makengeza.?