demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Aug 29, 2017 Thread starter #41 demigod said: Au tuseme Marefa wa Jamal Malinzi wanaipendelea Yanga. Click to expand... Kumradhi Boss. Nilidhani na wewe ni mmoja wao!
demigod said: Au tuseme Marefa wa Jamal Malinzi wanaipendelea Yanga. Click to expand... Kumradhi Boss. Nilidhani na wewe ni mmoja wao!
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,915 Reaction score 5,038 Aug 30, 2017 #42 Saju b said: Roho mbaya ni kitu kibaya sana, yaani wewe umeshinda goli 7 bila ila mwenzako kapata ka 1 tu ndio unaandika hapa upuuzi usio na kichwa wala miguu? Click to expand... mkuu huyu ni kandambili, alipotea siku ya mechi na Lipuli naona kaja na gia nyingine. Sent using Jamii Forums mobile app
Saju b said: Roho mbaya ni kitu kibaya sana, yaani wewe umeshinda goli 7 bila ila mwenzako kapata ka 1 tu ndio unaandika hapa upuuzi usio na kichwa wala miguu? Click to expand... mkuu huyu ni kandambili, alipotea siku ya mechi na Lipuli naona kaja na gia nyingine. Sent using Jamii Forums mobile app