Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karia ndiye kiongozi wa TFF (kuanzia enzi za FAT) mwenye mafanikio zaidi kuliko wote. Timu za Taifa zilizokata tiketi kucheza fainali katika level ya Afrika na Dunia na kupanda thamani kwa ligi kuu ya Bara, kote kumetokea katika utawala wa Karia. Anayesema kinyume na haya aweke rekodi zake hapaNikadhani Karia ndiyo angeanza kujiweka pembeni?
Hatutaki porojo hapa.Karia ndiye kiongozi wa TFF (kuanzia enzi za FAT) mwenye mafanikio zaidi kuliko wote. Timu za Taifa zilizokata tiketi kucheza fainali katika level ya Afrika na Dunia na kupanda thamani kwa ligi kuu ya Bara, kote kumetokea katika utawala wa Karia. Anayesema kinyume na haya aweke rekodi zake hapa
Kwani TFF inahusikaje na matokeo mabaya ya Timu ya Taifa?Na yule chawa wake Oscar Mirambo, walitakiwa kwa pamoja kujiondoa ili kuwaachia wenye mpira wao.
Miaka nenda wanapiga tu hela pale TFF! Hakuna mkakatibwa kieleweka kwenye soka la vijana! Ona sasa, timu inacheza ikiwa haina kabisa morali! Yaani wachezaji wanacheza tu bora liende!! Hakuna muunganiko uwanjani! Hovyo kabisa.
Kumuondoa kocha bado haiwezi kubadilisha chochote iwapo TFF yenyewe imejaa wanasiasa, badala ya wanamichezo.
Bwana weee kumbe hamna kitu kabisaaaUkiwasikia mashabiki wa simba na yanga wanavyotoa mishipa kwenye kwenye TV unaweza kudhani tanzania kuna mpira wa maana [emoji16]
Na mm nashangaa watu watoka povu tu pasipo reference... Currently TFF is doing better kwa soka la Tanzania!Karia ndiye kiongozi wa TFF (kuanzia enzi za FAT) mwenye mafanikio zaidi kuliko wote. Timu za Taifa zilizokata tiketi kucheza fainali katika level ya Afrika na Dunia na kupanda thamani kwa ligi kuu ya Bara, kote kumetokea katika utawala wa Karia. Anayesema kinyume na haya aweke rekodi zake hapa
Kama hujui TFF inahusikaje na matokeo ya timu ya Taifa! Kiukweli utanisamehe tu. Huo muda wa kuanza kukuelewesha, mimi sina.Kwani TFF inahusikaje na matokeo mabaya ya Timu ya Taifa?
TFF ni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, sio Shirikisho la Mpira wa Miguu wa Taifa Stars. Kuna vilabu, soka ya wanaume, soka ya vijana, soka ya wanawake, soka ya walemavu, soka ya ufukweni, mikataba ya wadhamini nk. Ni wale wenye upeo mdogo tu wa mawazo ndio wanakuwa wanaiangalia Taifa Stars tu kati ya timu zoteE
Ebu tuwekee Tanzania kwenye ranking ya FIFA ni ya ngapi kwa uongozi tofauti wa FAT na TFF.
Upeo finyu sana, tuanaangalia Taifa Stars, hizo zingine ni kachumbari tu.TFF ni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, sio Shirikisho la Mpira wa Miguu wa Taifa Stars. Kuna vilabu, soka ya wanaume, soka ya vijana, soka ya wanawake, soka ya walemavu, soka ya ufukweni, mikataba ya wadhamini nk. Ni wale wenye upeo mdogo tu wa mawazo ndio wanakuwa wanaiangalia Taifa Stars tu kati ya timu zote
mnaangalia wewe na nani? FIFA inakutambua? FIFA inaitambua TFF kama msimamizi wa Soka la Tanzania kuanzia vilabu, soka ya wanaume, soka ya vijana, soka ya wanawake, soka ya walemavu, soka ya ufukweni, mikataba ya wadhamini nkUpeo finyu sana, tuanaangalia Taifa Stars, hizo zingine ni kachumbari tu.
Unaulizwa maswali badala ya kuyajibu unaongea utumbo!mnaangalia wewe na nani? FIFA inakutambua? FIFA inaitambua TFF kama msimamizi wa Soka la Tanzania kuanzia vilabu, soka ya wanaume, soka ya vijana, soka ya wanawake, soka ya walemavu, soka ya ufukweni, mikataba ya wadhamini nk
Kwani wakati ligi ilikuwa inachukua wachezaji wa 3 wa kigeni tulipiga hatua gani kwenye timu ya Taifa?!Tff ndio wameharibu soka la timu ya taifa kwa kuruhusu ligi kutawaliwa na wageni na wazawa wanapigwa benchi kwenye club zao viwango vinashuka.
Onyesha swali nililoulizwa nikaacha kujibu. Kama FAT hakukuwapo soka la wanawake Tanzania wakati duniani lilikuwapo, sasa huo ndio uimara na uchapakazi wa Karia maana amelianzisha kwa mafanikio makubwaUnaulizwa maswali badala ya kuyajibu unaongea utumbo!
Wageni wameanza kuja mwaka gani ? Je huko nyuma kabla wageni hawajawa wengi tushawahi shiriki kombe la dunia? Mpira hauna ujanja ujanja . Imagine wachezajia walioibuliwa na azam wa kitanzania wameng'aa sana kwenye hizi timu pendwa . Kila timu ingekua na youth program kama ile ya azam leo hii tungekuwa na wachezaji wengi . Tumebaki maneno acha wanaojua wacheze wengine tuwe mashabikiTff ndio wameharibu soka la timu ya taifa kwa kuruhusu ligi kutawaliwa na wageni na wazawa wanapigwa benchi kwenye club zao viwango vinashuka.