TFF Yachomoa Betri Usajili wa Tuisila Kisinda

TFF Yachomoa Betri Usajili wa Tuisila Kisinda

Jayden News

Member
Joined
Aug 28, 2022
Posts
29
Reaction score
94
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefuta usajili wa winga wa Klabu ya Young Africans, Tuisila Kisinda kwenye orodha ya wachezaji 12 wa kigeni watakaocheza msimu huu.

Kwa mujibu wa TFF, usajili huo umefutwa kutokana na Klabu ya Yanga kuchelewesha usajili wake.
 
Back
Top Bottom