Wakti watanzania wakishangilia kuondolewa kwa kocha wa timu ya vijana baada ya kuboronga Oscar Milambo na Mkurugenzi wa Ufundi Amy Ninje kwa mujibu wa taarifa za gazeti la mwanaspoti leo inaonyesh aliyekuwa kocha wa serengeti boys iliyovurunda Oscar Milambo ndio mkurugenzi mpya wa ufundi wa TFF.
Mkurugenzi wa ufundi alyepita naye aliteuliwa baada ya kuvurunda kwenye kazi ya ukocha wa Kilimanjaro Stars inaonekanaa bado TFF hawajajifunza makosa waliyoyafanya hapo nyuma