TFF yaendeleza uozo

TFF yaendeleza uozo

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Wakti watanzania wakishangilia kuondolewa kwa kocha wa timu ya vijana baada ya kuboronga Oscar Milambo na Mkurugenzi wa Ufundi Amy Ninje kwa mujibu wa taarifa za gazeti la mwanaspoti leo inaonyesh aliyekuwa kocha wa serengeti boys iliyovurunda Oscar Milambo ndio mkurugenzi mpya wa ufundi wa TFF.

Mkurugenzi wa ufundi alyepita naye aliteuliwa baada ya kuvurunda kwenye kazi ya ukocha wa Kilimanjaro Stars inaonekanaa bado TFF hawajajifunza makosa waliyoyafanya hapo nyuma
 

Attachments

Nani aliyefanya vizuri zaidi ya Mirambo ili apewe hiyo nafasi? Mirambo anastahili
 
Back
Top Bottom