TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

Miaka 5 bila kujihusisha na mambo ya mpira wa miguu Tz!!!!!
 
Hakuna kitu kinachoitwa kuchafua nchi, hizi ni political slogans, ukweli uelezwe na uelezwe jinsi ulivyo, kama kuna corruption tuambiwe hivyo, sio kuupaka sukari
 
Hakuna kitu kinachoitwa kuchafua nchi, hizi ni political slogans, ukweli uelezwe na uelezwe jinsi ulivyo, kama kuna corruption tuambiwe hivyo, sio kuupaka sukari
sibishani na ulewa wako na imani yako. iwe political slogan au jargons KEEP THEM TO YOUR BACK. UKWELI UTAUONA.
 
Alipigwa faini mwakalebela kwa jambo jepesi kabisa, lakini huyu ambaye daily haishiwi kashfa na tena zenye ushahidi wa wazi ambao kila mtu anaona lakini bado wanafuga ubovu kwa kumlea lea
 
😄😄 na yule msomali kwa ban ndefu ndefu Yuko vzr Sana.
Huyo msomali aanze na Karai aliemchokoza Haji hakuna mtu yuko juu ya sheria Yanga wasimamie haki itendeke, Yanga wakikubali Haji kuonewa Yanga itaonewa na mengine!
 
kwani Manara ameanza kutukana watu leo? Kumbuka amewahi kuwaita nyinyi Yanga wote wapuuzi kasoro Baba yake na JK.
 
Yule ni mtu wa GSM sio YANGA. Hivyo GSM wataongea kikubwa na TIEFUEFU
Yupo pale kwa kazi maalumu, bila kuchafua taswira ya mpira na kukejeli bado hawezi kuonekana kama anafanya kazi ya GSM

Sijui anajiona kama nani vile, TFF noeni hilo Panga.
 
Ulemavu wake anautumia vibaya ban ya maisha itamfaa akamropokee mkewe, samahani kwa mimi kufikia kusema hayo ameanza kukera muda mrefu ila wanamuonea aibu kumuhukum
 
huenda karia anakosa ila anasemwa manara
 
Yupo pale kwa kazi maalumu, bila kuchafua taswira ya mpira na kukejeli bado hawezi kuonekana kama anafanya kazi ya GSM

Sijui anajiona kama nani vile, TFF noeni hilo Panga.
Ipo siku yake ataona DSM chungu ajifunze kwa SABAYA na MAKONDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…