TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

Ukisikia ulofa ndiyo huo. Kumbe ninyi mlimjua kuwa ana mdomo mchafu lakini bado mkampokea tena kwa mbwembwe mtu aliyewakashifu, eti kuwakoga Simba...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magufuli
 
Alivyokua Simba hakua limbukeni unafki ni tatizo kubwa sana kwa watanzania
 
Yaani waliofungua hilo shauri ndio hao hao wenye maamuzi, mbaya zaidi Boss wa hiyo taasisi ambaye ndiye msimamizi mkuu wa hiyo taasisi ndiye aliyezinguliwa! Ngoja tucheki hii movie
 
Hivi Mwakalebela alipigwa ban ya mvua ngapi vile kabla ya kusamehewa?
 
Umesoma hiyo statement ya TFF? ukiisoma vizuri utagundua unaweza ukawa na fact lakini haitasaidia Manara kuchomoka labda GSM wakaongee kikubwa na bwana Karia/ TFF
 
Yaani kila kiongozi wa shirikisho la mpira Tanzania hutaka kuabudiwa kweli kweli, kinyume chake atakula kichwa chako.

Ni afadhali kidogo Tenga alikuwa muungwana, sio hawa the rest takataka
Sio kiongozi wa mpira tu, hata baba yako atataka umuabudu hakuna namna
 
M
Umesoma hiyo statement ya TFF? ukiisoma vizuri utagundua unaweza ukawa na fact lakini haitasaidia Manara kuchomoka labda GSM wakaongee kikubwa na bwana Karia/ TFF
Mkuu hao TFF na statement yao ni one side of story, na always story ina two sides!,ningependa tutumie mahakama zaidi ili haki ya kweli ipatikane,Tanzania sio police state
 
Alijitetea mbele ya kamati kua alitumia sigara haikua akili yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…