kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
HawakawiiSafi kabisa TFF..
Yanga kataeni kuvaa basi jezi za timu ya taifa kwa sababu zinatengenezwa na kit supplier wa Simba.
Kwani zotakuwa na rangi au utepe mwekundu?Safi kabisa TFF..
Yanga kataeni kuvaa basi jezi za timu ya taifa kwa sababu zinatengenezwa na kit supplier wa Simba.
Mwambie aelewe😁😁Kwani zotakuwa na rangi au utepe mwekundu?
Mkuu bagamoyo sugar sio kit supplier ni mdhamin tu wa AzamTanzania kuna kampuni za kutengeneza na kusambaza kit ngapi? Naona sandaland ( simba na taifa stars ) gsm ( yanga ) tipo ( kitayose ) binslum ( coastal ) bongo ( kmc ). Azam wao wana Bagamoyo sugar ,
Taja zingine
Leo ndo nimejua Bagamoyo sugar wantengeneza pia jezi!!Tanzania kuna kampuni za kutengeneza na kusambaza kit ngapi? Naona sandaland ( simba na taifa stars ) gsm ( yanga ) tipo ( kitayose ) binslum ( coastal ) bongo ( kmc ). Azam wao wana Bagamoyo sugar ,
Taja zingine
Hahahahaha, angalia jezi ya azam hasa ile ya goldLeo ndo nimejua Bagamoyo sugar wantengeneza pia jezi!!
Pale alipowekwa ni sehemu ya kit supplier ,mdhamini hakai pale ,au ni mdhamini wa kutengeneza jezi?Mkuu bagamoyo sugar sio kit supplier ni mdhamin tu wa Azam
Nilichofurahia hapa ni haya ya kwanza nikiringanisha na ule mkataba wa DP WORLD.TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano.
Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za Taifa.
Mwendo wa Soka Letu unaendelea kuwa Bora na hivyo Wadhamini Wanazidi kujitokeza.
Yawezekana Kufuzu Afcon Imekuwa ni chagizo..
Ongezea na Dp world.Tanzania kuna kampuni za kutengeneza na kusambaza kit ngapi? Naona sandaland ( simba na taifa stars ) gsm ( yanga ) tipo ( kitayose ) binslum ( coastal ) bongo ( kmc ). Azam wao wana Bagamoyo sugar ,
Taja zingine