Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwasasa kwavile ni watanzania, Yanga na TFF hakuna walipovunja kanuni kuhusu kuchezeshwa huyu mchezaji katika mechi za ligi kuu.Wakati Damaro na wenzake wanabadilishiwa uraia Madeleka alienda mahakamani kuhoji lakini viongozi wazembe wa Simba walikaa kimya. Wakaona hayawahusu ili hali wenye kuona mbali waliwatahaadharisha kuwa hao wachezaji wote watatu wanatengenezewa njia ya kwenda Yanga. Sasa baada ya matokeo kuwagusa ndio wanakurupuka kutoka usingizini kwenda kulalamika TFF.
Viongozi waliopo pale Simba kuna mambo wanayafanya ndivyo sivyo kabisa kiasi mpaka wanafanya Babra aonekane alikuwa kiongozi bora kabisa kwenye suala la ufuatiliaji kwa ukaribu mambo ya msingi yanayoihusu Simba.
Huwezi kwenda CAS bila kupitia TFF hyo ni kawaida nashangaa mnaoshangilia ngoma bado mbichi simba walitaka kibali tu cha kwenda mbele na wamekipata unadhani ni wajinga kiasi hcho wakati yanga kwenye kipengele cha sheria ni empty.
Wanaenda CAS kuishtaki serikali kwa kumpa uraia Damaro? Ama wanaenda kuishtaki TFF kwa kuruhusu Damaro kuchezea Yanga kama mzawa?Huwezi kwenda CAS bila kupitia TFF hyo ni kawaida nashangaa mnaoshangilia ngoma bado mbichi simba walitaka kibali tu cha kwenda mbele na wamekipata unadhani ni wajinga kiasi hcho wakati yanga kwenye kipengele cha sheria ni empty.
Na mwakani Keyeke ndani ya nyumba!Wakati Damaro na wenzake wanabadilishiwa uraia Madeleka alienda mahakamani kuhoji lakini viongozi wazembe wa Simba walikaa kimya. Wakaona hayawahusu ili hali wenye kuona mbali waliwatahaadharisha kuwa hao wachezaji wote watatu wanatengenezewa njia ya kwenda Yanga. Sasa baada ya matokeo kuwagusa ndio wanakurupuka kutoka usingizini kwenda kulalamika TFF.
Viongozi waliopo pale Simba kuna mambo wanayafanya ndivyo sivyo kabisa kiasi mpaka wanafanya Babra aonekane alikuwa kiongozi bora kabisa kwenye suala la ufuatiliaji kwa ukaribu mambo ya msingi yanayoihusu Simba.
Hakuna kesi hapo acha kujijaza ujinga anaetoa vibali ni TFF Yanga kamsajili mchezaji akiwa na title ya Tanzania sasa unaenda kushikati nini huu ni u mbumbumbuHuwezi kwenda CAS bila kupitia TFF hyo ni kawaida nashangaa mnaoshangilia ngoma bado mbichi simba walitaka kibali tu cha kwenda mbele na wamekipata unadhani ni wajinga kiasi hcho wakati yanga kwenye kipengele cha sheria ni empty.
Madeleka ni mpenda attention, umeona wapi wakili akifungua kesi anapost mitandaoni, anaomba achangiwe.Wakati Damaro na wenzake wanabadilishiwa uraia Madeleka alienda mahakamani kuhoji lakini viongozi wazembe wa Simba walikaa kimya. Wakaona hayawahusu ili hali wenye kuona mbali waliwatahaadharisha kuwa hao wachezaji wote watatu wanatengenezewa njia ya kwenda Yanga. Sasa baada ya matokeo kuwagusa ndio wanakurupuka kutoka usingizini kwenda kulalamika TFF.
Viongozi waliopo pale Simba kuna mambo wanayafanya ndivyo sivyo kabisa kiasi mpaka wanafanya Babra aonekane alikuwa kiongozi bora kabisa kwenye suala la ufuatiliaji kwa ukaribu mambo ya msingi yanayoihusu Simba.
Madeleka ni mpenda attention, umeona wapi wakili akifungua kesi anapost mitandaoni, anaomba achangiwe.
Ule uraia waliopewa ulikiuka taratibu ndio maana yule mchezaji mwingine alikuja na passport ya Ivory Coat.
Kamati ile ni ya kibabaishaji wanatoa hukumu bila kueleza sababu gani wamefikia hayo maamuxi ila ikiwa Simba itaenda CAS ndio tutajua mbivu na mbichi.
Nini hofu yako Simba wakienda CAS, kama watapoteza pesa ni za kwao.Natamani sana hii kesi ilivyokuwa ya moto moto na ndipo viongozi na wanasheria wa Simba wasonge mbele kwenda CAS pengine mtajifunza kwa njia hiyo ngumu na gharama kubwa baada ya kushindwa kujifunza kwa njia rahisi na nyepesi.
Swali dogo ambalo mnapaswa kujiuliza, je kwasasa Damaro anahesabika kama ni mtanzania ama sio mtanzania?
Kama ni mtanzania basi ana haki ya kushiriki katika shughuli zozote zile zilizo ndani ya Tanzania ikiwemo sanaa na michezo.
Ita make sense kama kesi ingekuwa Simba vs serikali (kupinga kupewa uraia kwa Damaro)
Kwenye mpira wa miguu sheria na taratibu zimegawanyika
Zipo sheria na taratibu za FIFA
Zipo za confederation
Zipo za FA
Sheria na taratibu za FA huwa haziingiliwi na FIFA wala confederation kwasababu sheria za FIFA na confederation zipo kwaajili ya kuongoza mashindano ya kimataifa.
Mfano mmoja wapo tu wa sheria na taratibu za FA ni kuhusu idadi ya wachezaji wa kimataifa, kila FA ina utaratibu wake. FA nyingine mwisho wachezaji watano, FA nyingine mwingine mwisho wachezaji 12 kwengine wao mwisho watatu, n.k.
Huko ulaya ni jambo la kawaida sana mchezaji kupewa uraia wa kiserikali (pasipoti) ili klabu kupunguza idadi ya wachezaji wa kimataifa na jambo la kawaida kabisa hakuna sheria iliyovunjwa kwavile hao wachezaji wanabakia na uraia wao ule ule wa kimpira.
Real Madrid iliamua kumbadilisha uraia Éder Militão, Vinícius Júnior na Rodrigo wote ni kutoka Brazil ila wakapewa pasipoti ya Uhispania ili kupunguza idadi ya wachezaji wa kimataifa na kupata nafasi ya kuongeza wachezaji wengineo wapya wa kimataifa.
Kwahiyo kuchezea mashindano ya vilabu kama ligi kuu hakuhitaji kubadilisha uraia wa kimpira bali uraia wa kiserikali ( pasipoti)
Ila kama mchezaji mnataka aitumikie timu yenu ya taifa hapo lazima ufuate utaratibu wa FIFA wa kubadilisha uraia wa kimpira sasa.
Mkuu Sijui kama kuna sehemu nimesema wasiende bali nimesisitiza waende haraka hivyo kama mshabiki wa Simba wahimize viongozi wenu waende CAS ili wajue kuwa mpo pamoja nao. Ni kawaida kwa timu za Kariakoo kutafuta chocho la shortcut za mezani pindi mwenzake akimtawala mfululizo na huwa ni mr haambiliki kwanzia mashabiki hadi viongozi. Tuliona kwa Yanga kesi ya kipuuzi kuipeleka TFF na kisha CAS baada ya kuragazwa na TFF na sasa ni zamu ya pacha wake. Ndiyo aina ya wapenzi wa soka la bongo na viongozi wake.Nini hofu yako Simba wakienda CAS, kama watapoteza pesa ni za kwao.
Kwa nchi ambayo maamuzi mengi yanaamriwa kwa wahusika kupigiwa simu hii si ajabu wacha watumie haki yao kujiridhisha.