TFF yairekebisha ngao ya jamii waliyoshinda Simba SC

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limerekebisha na kuandika kwa usahihi maneno ya kwenye Ngao ya Jamii waliyoshinda timu ya Simba.

 
Wasiishie kurekebsha tu bali hadi watuombe radhi kwnz kwa kutuaibisha na pia kwa kuwapa ngao feki
 
Kwanini hawaiandiki kwa kiswahili?
 
Bado medali,
nazo ziliandikwa Sheild Badala ya Shield.
Yaani taasisi inaandika maneno mawili tu, Community na Shield, na wanashindwa kuyahakiki.
Kamusi zipo.

What a wonderful incident.
 
Mchezo urudiwe, Sisi hatukubali hiyo ngao.
 
Hivi jamani mi mbona naona kama hii ngao ya jamii iko na low quality?
 
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limerekebisha na kuandika kwa usahihi maneno ya kwenye Ngao ya Jamii waliyoshinda timu ya Simba.

View attachment 577413
kwani nini wasitumie lugha ya kiswahili? wangeandika "NGAO YA JAMII" inatosha na inaeleweka kwa watu wote, Ninaomba TFF Waliangalie hilo. Hakuna sababu ya kutumia kiingereza wakati kiswahili ndo lugha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…