Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una roho mbaya sana.. Utakufa kihoro mkuuwawape mbao yao.
kwani nini wasitumie lugha ya kiswahili? wangeandika "NGAO YA JAMII" inatosha na inaeleweka kwa watu wote, Ninaomba TFF Waliangalie hilo. Hakuna sababu ya kutumia kiingereza wakati kiswahili ndo lugha yetu.Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limerekebisha na kuandika kwa usahihi maneno ya kwenye Ngao ya Jamii waliyoshinda timu ya Simba.
View attachment 577413
Wasiishie kurekebsha tu bali hadi watuombe radhi kwnz kwa kutuaibisha na pia kwa kuwapa ngao feki
Kwa jamii na jumuiya ya kmataifawa
WAMEABISHA KWA NANI?