Mkazamoyo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,495
- 2,543
Taarifa ya Tff kuhusina na yanga kutokualikwa
Pia soma
Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga
Miongoni mwa habari ambazo zimeshtua baadhi ya wadau wa soka nchini ni habari inayohusiana na kutoalikwa kwa klabu ya Yanga katika Mkutano Mkuu wa Kawaida wa 44 wa CAF uliofanyika jijini Arusha na kufikia kilele tarehe 10 Julai, 2022. Binafsi nimestaajabishwa si tu kwa kutoalikwa kwa klabu ya...