TFF yakanusha kuhusika kwenye kualika watu kwenye mkutano wa CAF

Mkazamoyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,495
Reaction score
2,543

Taarifa ya Tff kuhusina na yanga kutokualikwa
Pia soma
 
Sawa asante kwa taarifa, Yanga itabaki kuwa Yanga siku moja itakuja kushiriki huo mkutano, tupeane muda
 
Watu tunasubiria kuangalia mechi ya Ngao ya Jamii hapo kesho. Hizo porojo za hao TFF, nadhani hazina mashiko kwa sasa.
 
Hata wengealika wao wasingeialika Yanga! Karia, Kidabu, Ndimbo ...... lazima waipe kipaumbele timu yao pendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utopolo haijulikani, timu iko nafasi zaidi ya 100 huko ya nini kuhangaika nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…