Shirikisho la Soka Tanzania TFF lakiri kudaiwa na waamuzi, lasema fedha inayohitajika kuwalipa waamuzi hao kwa msimu mmoja ni zaidi ya shilingi bilioni moja wakati fedha wanayoipata kutoka kwa wadhamini kwaajili ya malipo hayo ni takriban shilingi milioni 400
Your browser is not able to display this video.
My take:
Nilijua kuna kitu nyuma ya pazia
Baada ya Rais kukana niliamka na post Je waamuzi wanalipwaa yanayoendelea haya......
Namshukuru Kidau kwa kuweka wazi jana kweli wanadai pesa ndefu tu. Mkumbuke nao n binadamu wanafamilia msifikiri wanayifanya wanataka na watoto waende choo kikubwa
Solution ishajulikana sasa TFF walipe madeni ya waamuzi