John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania kwa muda wa miaka mitano.
Dauda ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF amefungiwa kwa kwenda kinyume na Kanuni ya Maadili pamoja na Kanuni za TFF akidaiwa kutoa taarifa za uwongo na kuchochea umma kupitia page yake ya Instagram.