Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikata rufaa anashinda hii kesi..!
Unashangilia mwenzio kufungiwa kazi inayomuendeshea maisha for five years, yaani wewe ukizeeka lazima utakuwa kigagula tuu.Dauda ana ujinga mwingi sana hasa anapochanganya masuala ya soka na interest zake binafsi.
Ni mtu anayefanya personal attacks wakati fulani ili akidhi tamaa zake za ubinafsi.
Adhabu hiyo ni sahihi
Mchambuzi wa mchongo amekula ban ya miaka mitano na faini juu hii itakuwa fundisho kwa wachambuzi wengine wa mchongo kama kotinyoKamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania kwa muda wa miaka mitano...
Tuinasubiri ,uamuzi dhidi ya Haji Manara kutokana na matamshi aliyoyatoa kabla ya mechi ya ASEC na Simba...natumai yeye atafungiwa milele manake nikisema maisha naona kama haitoshi....Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania kwa muda wa miaka mitano...
Mkuu kwani alisemaje?[emoji16]Tuinasubiri ,uamuzi dhidi ya Haji Manara kutokana na matamshi aliyoyatoa kabla ya mechi ya ASEC na Simba...natumai yeye atafungiwa milele manake nikisema maisha naona kama haitoshi....
Watakata rufaa na utasikia wamefunguliwa,,,,,,,,, labda wawe na mkono wa birika😛😀😛😀Hawana akili hao TFF,..unamfungiaje mtu maisha?
Mkuu kama vile hii nchi huijui,, watamfungulia tu ni Jambo la muda tuAnashindaje sasa hiyo rufaa na wakati amekiri mwenyewe kosa lake, huku akijitetea kwa kisingizio dhaifu! Mimi nadhani ungemtakia tu maisha mema nje ya soka.
Kwahyo kufungiwa kwa dauda kuna sababisha nini Tff kuwa janga la TaifaHizi adhabu zimekaa kukomoa zaidi wala sio kujenge.! TFF ni janga la soka katika nchi yetu
Hawana akili hao TFF,..unamfungiaje mtu maisha?
Chapisho n hiloWanao Uliza Shaffii Alifanya nini?
Siku Moja Kabla ya GSM kujiondoa Kwenye Kudhamini Ligi, Shafii Alichapisha Andiko Ambalo lilitaka TFF kuwa wa wazi na wa kweli katika Mkataba Walio ingia na GSM na Wasipo Kuwa makini Wanaweza kupelekea Mkataba kuvunjwa.
Shafii alisema TFF sio Mali Binafsi bali ni Mali Ya Umma. So TFF wakasema Shafii anafanya Uchochezi kuhusu Mkataba Na GSM. Wakamfungia Lakini GSM siku moja Mbele akajitoa kwa kile kile alichosema Shafii.
Sasa TFF SIJUI Akili yao Inawaza Wapi