John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Yerewiiiiiiiiiiiiiiiii...... TFF imfungie na Asprin na GENTAMYCINE kutoka Mara kwa kina Mightier . Ushabiki wao unawaumiza sana roho MATOPOLOTFF yatangaza kumfungia Shaffih Dauda kutojihusisha na soka miaka mitano
View attachment 2121163
View attachment 2121164
Kutokujihusisha maana yake naachane na soka katika aspect Zote, sio uchambuzi tu hata kutoa taarifa yoyote inayohusu mpira ndani na nje ya Nchi.Kwa hiyo hawaruhusiwi hata kuandika chochote kwenye mitandao ya kijamii au kuendelea kuwatumikia waajili wao ktk tasnia ya michezo?
Acha kuwa mlopokaji, umesoma hapo imeandikwa kafungiwa MAISHA?. Hebu uwe unasoma ndio unachangia.Hawana akili hao TFF,..unamfungiaje mtu maisha?
Acha kuwa mlopokaji, Kwani hapo adhabu kapewa dauda pekeyake?..hebu uwe unasoma ndio unachangiaAcha kuwa mlopokaji, umesoma hapo imeandikwa kafungiwa MAISHA?. Hebu uwe unasoma ndio unachangia.
BoraKamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania kwa muda wa miaka mitano...