P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Feb 17, 2022 #61 Wampe na hela ya kula na kujikimu kwa muda wa miaka mitano, Kwani hiyo si ndio ajira yake? Unamfungiaje mtu ajira?
Wampe na hela ya kula na kujikimu kwa muda wa miaka mitano, Kwani hiyo si ndio ajira yake? Unamfungiaje mtu ajira?
nosspass JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 5,814 Reaction score 4,781 Feb 18, 2022 #62 Erythrocyte said: Shetani hana rafiki Click to expand... uko sahihi.....humgeuka hata shetani mwenza....
Erythrocyte said: Shetani hana rafiki Click to expand... uko sahihi.....humgeuka hata shetani mwenza....