TFF Yamkuta na Hatia Msuva, Chirwa, Kaseke Wasamehewa

Sir Lindege

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
35
Reaction score
181
Breaking News: Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na hatia ya utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga Morocco, Simon Msuva huku ikiwasamehe Obrey Chirwa na Deus Kaseke.
 
wanamkuta na utovu wa nidhamu kwa mtu ambae hayupo bongo
 
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na makosa ya utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga nchini Morocco, Simon Msuva ambaye imempa onyo kali la barua.

Mbali na Msuva, wengine waliokuwa wakijadiliwa na kamati hiyo kwa utovu wa nidha kwenye michezo ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania Bara ni Obrey Chirwa (Yanga) na Deus Kaseke (Yanga) ambao wamesamehewa.

Chanzo: Muungwana
 
Haya ya vikao na maonyo,makaripio,maazimio,maafikiano tunayaweza sana.
 
Breaking News: Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na hatia ya utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga Morocco, Simon Msuva huku ikiwasamehe Obrey Chirwa na Deus Kaseke.
Wamesamehewa au hawajakutwa na hatia?.....
Kweli shule mlienda kusomea ujinga si bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…