TFF yapiga marufuku Wachezaji kusalimia kwa kushikana mikono kabla ya mechi

TFF yapiga marufuku Wachezaji kusalimia kwa kushikana mikono kabla ya mechi

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Shirikisho la Soka Nchini (TFF) limesema uratatibu wa Wachezaji kupeana mikono kabla ya kuanza mechi hautatumika kwa sasa na badala yake watasalimiana kwa ishara tu

Utekelezaji huo unaanza leo katika Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom zitakazochezwa kwenye viwanja mbalimbali nchini na maelekezo hayo yanahusu pia mechi zinazoendeshwa na wanachama wa TFF

TFF imebainisha kuwa hatua hiyo ni utekelezaji wa ushauri uliotolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ikiwa ni tahadhari ya kujilinda dhidi ya #coronavirus

1.jpg
 
Mbona wachezaji wakiwa uwanjani kugusana, kushikana wakati wa kukabana no kawaida? Inabidi wakati wa mechi wasigusane pia.
 
Tff was*ng* sana wamekosa vitu vya kujadili[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Are these guys out of their freaking minds? Football is a contact sport
 
Hii ajabu kweli khaaaaah, sasa hao wachezaji watacheza vipi bila kugusana? Duuuuh yaani viongozi wa selikali wanawapangia majukumu vitengo vingine lol, aibu naona mieeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom