Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Shirikisho la Soka Nchini (TFF) limesema uratatibu wa Wachezaji kupeana mikono kabla ya kuanza mechi hautatumika kwa sasa na badala yake watasalimiana kwa ishara tu
Utekelezaji huo unaanza leo katika Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom zitakazochezwa kwenye viwanja mbalimbali nchini na maelekezo hayo yanahusu pia mechi zinazoendeshwa na wanachama wa TFF
TFF imebainisha kuwa hatua hiyo ni utekelezaji wa ushauri uliotolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ikiwa ni tahadhari ya kujilinda dhidi ya #coronavirus