Kituko hiki ko wanapocheza pia hawatagusana. Akiri ndogo za TFF ya Karia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ajabu kweli khaaaaah, sasa hao wachezaji watacheza vipi bila kugusana? Duuuuh yaani viongozi wa selikali wanawapangia majukumu vitengo vingine lol, aibu naona mieeeh
Sent using Jamii Forums mobile app