beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la Kwanza , Ligi daraja la Pili pamoja na Ligi ya Wanawake limefunguliwa leo
Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, mchakato huo utafanyika kwa mwezi mmoja na dirisha litafunguwa Agosti 31, 2020
Shirikisho hilo limesema hakutakuwa na nyongeza ya muda na kuzitaka klabu kukamilisha usajili na uhamisho kwa wakati