TFF yatangaza kufunguliwa kwa dirisha la usajili kuanzia leo hadi Agosti 31

TFF yatangaza kufunguliwa kwa dirisha la usajili kuanzia leo hadi Agosti 31

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la Kwanza , Ligi daraja la Pili pamoja na Ligi ya Wanawake limefunguliwa leo

Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, mchakato huo utafanyika kwa mwezi mmoja na dirisha litafunguwa Agosti 31, 2020

Shirikisho hilo limesema hakutakuwa na nyongeza ya muda na kuzitaka klabu kukamilisha usajili na uhamisho kwa wakati

1596267898335.png
 
Awessu awessu alisajiliwa na Azam kabla ya dirisha kufunguliwa,hii imekaaje ki kanuni?
 
Kuna pre contract hiyo inaruhusiwa ndo mana mchezaji akibakiza miezi 6 anaruhusiwa kuzungumza na club zinazomtaka
Pre contract mchezaji anapobakiza miezi 6 anaruhusiwa kufanya maongezi na timu inayotaka kumsajili kwa hiyo la awesu kuongea na azam kabla ya dirisha si shida
 
yanga chama la wana,hebu wekeni account hapa ya benk, tuanze kuchangia, mwaka huu tunataka tumlete ndeata
 
Back
Top Bottom