Kuna pre contract hiyo inaruhusiwa ndo mana mchezaji akibakiza miezi 6 anaruhusiwa kuzungumza na club zinazomtakaAwessu awessu alisajiliwa na Azam kabla ya dirisha kufunguliwa,hii imekaaje ki kanuni?
Pre contract mchezaji anapobakiza miezi 6 anaruhusiwa kufanya maongezi na timu inayotaka kumsajili kwa hiyo la awesu kuongea na azam kabla ya dirisha si shidaKuna pre contract hiyo inaruhusiwa ndo mana mchezaji akibakiza miezi 6 anaruhusiwa kuzungumza na club zinazomtaka