Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
Ku forge document ni koza la JINAI, na anaye shiriki katika kuficha kosa ni mkosaji, POLISI waingilie hili swala, huyu aliyefanya haya aadhibiwe kwa mujibu wa sheria za nchi.
malinzi, toa maelezo je katibu kafanya kwa baraka za TFF kuharalisha kosa, au kafanya kama Mwesigwa. Tusiendekeze huu upuuzi, nina imani aliye forge hakuwa na baraka za klabu ya Simba. Hivyo aadhibiwe kama yeye. Mnakumbuka kisa cha aliyekuwa katibu wa Yanga Mr Makongoro?

Last edited by a moderator: