TFF yatuma barua ya mashitaka CAF dhidi ya Kocha wa Yanga sc

TFF yatuma barua ya mashitaka CAF dhidi ya Kocha wa Yanga sc

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Hongereni TFF kwa kulishughulikia hili Tanzania hatutaki tabia za kibaguzi kwenye soccer letu.

IMG_20200727_150413.jpg
 
kwanza wangeanza kujiridhisha kama hiyo voice note ni ya Luc, na kama haijawa edited au kuongezewa maneno maneno, wapo watalaam wa sauti wao weza thibisha hili.

Pale itakapo bainika hiyo 'voice note ' imechezewa' itakuwa ni aibu kubwa kwa TFF na ikibainika hiyo voice note ni 'real' na haijachezewa kwa kweli huyo ni wa kulala nae mbele.
 
kwanza wangeanza kujiridhisha kama hiyo voice note ni ya Luc, na kama haijawa edited au kuongezewa maneno maneno, wapo watalaam wa sauti wao weza thibisha hili, pale itakapo bainika hiyo 'voice note ' imechezewa' itakuwa ni aibu kubwa kwa TFF na ikibainika hiyo voice note ni 'real' na haijachezewa kwa kweli huyo ni wa kulala nae mbele...
Tumeshajiridhisha ndio Mana tumemshtaki kwenye vyombo vyenye dhamana. Upande wa mshtakiwa nao waje na sababu za kutengua mashtaka.
 
Huyo Leopoldo lazima ale kifungo asipate kazi popote.
 
Amekiri kwenye mahojiano na Mwanaspoti. Hivyo hakuna cha kujadili au una hoja nyingine?
 
TFF imelala usingizi fofooooo tokea siku nyingi. Haya Mambo huwa mnayalea wenyewe coz yapo malalamiko ya kila siku ila huwa hamuwajibishi watu.

Suala la timu fulan kubebwa hatujawahi ona hata kiongozi mmoja wa timu akiwajibishwa kwa kauli za timu fulan inabebwa angalao awe na ushahidi. Sasa leo ndio mmeambiwa tena Simba mnambeba katika ushindi, bisheni na hilo
 
Tff hili swala la kocha wa manyani fc wamelishikia bango wakati maamuzi ya kocha wa kagera na yanga hadi leo hayajatolewa maamuzi
 
Huyu iliyakiwa apelekwe Segerea, akabakwe huko, akishalowa mijimbegu mwili mzima, apelekwe airport atimuliwe bila hata begi
 
Depotivo de mkunungu mnatutukanisha kibwegebwege!

SIMBA TUMEAZIMIA Tukikutana dimbani mtatukoma.
 
TFF imelala usingizi fofooooo tokea siku nyingi. Haya Mambo huwa mnayalea wenyewe coz yapo malalamiko ya kila siku ila huwa hamuwajibishi watu.

Suala la timu fulan kubebwa hatujawahi ona hata kiongozi mmoja wa timu akiwajibishwa kwa kauli za timu fulan inabebwa angalao awe na ushahidi. Sasa leo ndio mmeambiwa tena Simba mnambeba katika ushindi, bisheni na hilo
Simba inabebwa vipi?
 
Back
Top Bottom