Kumshtaki yule kocha ni kukurupuka tu kwanza kocha hana kosa lolote, na hata aliposema viongozi wa yanga ni waswahili alikuwa sahihi maana suala la shishimbi hadi leo halieleweki, ya Morison pia halieleweki club inasema wachezaji wamesain na wachezaji wanasema hawajasain huoni kuwa ile team ni ya kihuni huni?