TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Sasa TFF ni ya kushindana na CCM[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kesi kinana anapiga simu moja tuuu
unajua kanuni za fifa zinasemaje wanasiasa kuingilia soka?.ndo maana kilasiku Yanga wakilalamika wanasema tunaenda kupeleka malalamiko kwa Rais,lakini hawakubaliwi kupeleka kwasababu ilo ni kosa na adhabu yake ni kubwa Sana.
 
Manara ni mzigo wa mavi habebeki ukimbeba lazima unuke hivyo hersi akubali tu kunuka
Mashabiki wengi wa Yanga ni oya oya eti wanamtetea umeambiwa usifanye shughuli yoyote ya kimpira eti unajifanya mc yaan walichofanya Jana Yanga ni uhuni tu hivyo adhabu kwa manara na hersi zinawahusu
NB ukimtoa kikwete na baba manara mashabiki wote wa yanga waliobaki hawana akili manara voice
 
Dada mpira usikupelekee ukaingilia mambo ya ulemavu wa mtu. Kuna maisha baada ya mpira . ulemavu wa mtu ajuaye ni Mungu . kumbuka hujafa hujaumbika .
Naona imekugusa?? Yeye mbna huwa anadhihaki watu wazi wazi?? Mnavompa bichwa ndo anajikutaaaaa.

Wampuuze akichoka ataacha,
 
Manara na Yanga yake wamekuwa watu wa kiki kama Konde na binti Masanja
 
Naona imekugusa?? Yeye mbna huwa anadhihaki watu wazi wazi?? Mnavompa bichwa ndo anajikutaaaaa.

Wampuuze akichoka ataacha,
Sawa endelea Dada kumkashifu maumbile yake. 🙏🙏🙏🙏
 
TFF, fungia yanga kutoingiza mashabiki wao kwa nusu msimu, ili akili zao zikae sawa, wanatumia nguvu nyingi, akili kidogo sana.
Mashabiki ndio waliomualika Manara?
 
Dada jibu swali acha tilalila . Je manara kuingia uwanjani Jana kwenye tukio la KIMPIRA je angekaa kimya angekuwa hajajihusisha na mpira?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Hivi Kujihusisha na mpira na kujihusisha na shughuli za mpira ni jambo moja?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kamati ya Maadili ya TFF imemfungulia mashitaka Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi kwa kushindwa kuheshimu matakwa ya kisheria na kanuni za TFF na klabu yake ya YANGA kwa kumruhusu Bwana Haji Manara (Mc wa mtaani) kuwa sehemu ya washereheshaji wa siku ya mwananchi hapo jana tar. 6 Agosti, 2022.
Bwana Haji anashitakiwa kwa kukiuka adhabu ya kifungo cha miaka miwili aliyopewa na kamati hiyo.

Labda tuseme "mbombo ngafu" wajameni[emoji2]

SOURCE: TFF
Hiyo tff 8mejaa upumbavu mtupu.
 
Huyu atakua engineer wa kuunga unga na mpira na wahandisi wapi na wapi halafu unakuaje rais wa mpira unaemdeshwa na vimihemko vya jamaa tu eti anataka kupendezesha siku ya wananchi kwa kutangaza wachezaji. Ngoja tuzame tukague GPA zako kwanza
Uyo eng.wa udalali sio washule.
 
Ni adhabu, kwa hiyo unataka kusema bila Yanga TFF inakufa? Kwanza waitegemee kwa lipi ilihali hata kimataifa ni wasindikizaji tu.
Duh! Hiyo reasoning yako hiyo, hee ee.
 
Kwani senzo kabla ya kuja Yanga alikuwa wapi? Na kwanini aliindoka 😂😂😂😂😂
 
Nimeamini kweli Yanga hamnazo,

umeambiwa usishiriki kwenye shughuri zozote zile zinazohusu mpira

Unakuja kutambulisha wachezaji uwanjani harafu unasema umealikwa kama MC utadhani umekuja kuhamasisha watu watoe zawadi kwenye ukumbi wa harusi.
 
Nimesoma maelezo ya mdau wa soka na mkuu wa wilaya ya Tunduru hakika **** GAP kubwa sanaa la tafsiri sahihi ya mamlaka na kutii mamlaka
 
Back
Top Bottom