unajua kanuni za fifa zinasemaje wanasiasa kuingilia soka?.ndo maana kilasiku Yanga wakilalamika wanasema tunaenda kupeleka malalamiko kwa Rais,lakini hawakubaliwi kupeleka kwasababu ilo ni kosa na adhabu yake ni kubwa Sana.Sasa TFF ni ya kushindana na CCM[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kesi kinana anapiga simu moja tuuu
To must go is KARIA and not MANARA.Yanga tusipotumia maarifa hiii ishu inaenda kutuharibia timu
"MANARA MUST GO,"
Naona imekugusa?? Yeye mbna huwa anadhihaki watu wazi wazi?? Mnavompa bichwa ndo anajikutaaaaa.Dada mpira usikupelekee ukaingilia mambo ya ulemavu wa mtu. Kuna maisha baada ya mpira . ulemavu wa mtu ajuaye ni Mungu . kumbuka hujafa hujaumbika .
Ndio vizuri ili akili itukae sawa.Wakifanya hvo tunafungiwa na FIFA kama Kenya saiv hawqshiriki mashindano yoyote Yale.
Hembu fabueni mambo yenye misimamo wale umeme wa maana na ikiwezekana na hili kitimu lifungieni. Huwezi kuidharau mamlakaManara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
Basi tutazidi kuuona ushamba wake.Huyo wanamwita injinia ni mshamba mmoja amejificha kwenye ustaarabu
Sawa endelea Dada kumkashifu maumbile yake. ππππNaona imekugusa?? Yeye mbna huwa anadhihaki watu wazi wazi?? Mnavompa bichwa ndo anajikutaaaaa.
Wampuuze akichoka ataacha,
Mashabiki ndio waliomualika Manara?TFF, fungia yanga kutoingiza mashabiki wao kwa nusu msimu, ili akili zao zikae sawa, wanatumia nguvu nyingi, akili kidogo sana.
Mkuu Hivi Kujihusisha na mpira na kujihusisha na shughuli za mpira ni jambo moja?Dada jibu swali acha tilalila . Je manara kuingia uwanjani Jana kwenye tukio la KIMPIRA je angekaa kimya angekuwa hajajihusisha na mpira?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mamlaka isiyojiheshimu haina haki ya kuheshimiwa.Injinia mzima unakuwa mhuni mhuni tu huheshimu hata mamlaka. Eti MC mwalikwa, utetezi wa kihuni kabisa huu.
Hiyo tff 8mejaa upumbavu mtupu.Kamati ya Maadili ya TFF imemfungulia mashitaka Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi kwa kushindwa kuheshimu matakwa ya kisheria na kanuni za TFF na klabu yake ya YANGA kwa kumruhusu Bwana Haji Manara (Mc wa mtaani) kuwa sehemu ya washereheshaji wa siku ya mwananchi hapo jana tar. 6 Agosti, 2022.
Bwana Haji anashitakiwa kwa kukiuka adhabu ya kifungo cha miaka miwili aliyopewa na kamati hiyo.
Labda tuseme "mbombo ngafu" wajameni[emoji2]
SOURCE: TFF
Uyo eng.wa udalali sio washule.Huyu atakua engineer wa kuunga unga na mpira na wahandisi wapi na wapi halafu unakuaje rais wa mpira unaemdeshwa na vimihemko vya jamaa tu eti anataka kupendezesha siku ya wananchi kwa kutangaza wachezaji. Ngoja tuzame tukague GPA zako kwanza
Duh! Hiyo reasoning yako hiyo, hee ee.Ni adhabu, kwa hiyo unataka kusema bila Yanga TFF inakufa? Kwanza waitegemee kwa lipi ilihali hata kimataifa ni wasindikizaji tu.