TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Huo utetezi mtautoa kwenye kamati ya maadili
 
Una kichaa wewe nenda kasome Disciplinary Framework za FIFA kuhusu mashabiki na adhahu zao
 
Kuingia uwanjani sio kujihusisha na mpira ??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Reactions: F9T
Hivi huyo hesi naye alishindwa vipi kujiridhisha kwanza kama analotaka kulifanya halikiuki adhabu inayotumikiwa?.

Au ni kiburi tu na kuamini kwenye jeuri ya pesa?...Kamati ya maadili simamieni weledi mtu asiwababishe na pesa zake.
Jina lake halisii ni Nesi Saidi na siyo Hesi Saidi
 
Soma barua ya Tff mkuu, mimi sijaandika barua, kama Yanga wangelikuwa hawajafanya kosa hiyo barua ya nini sasa.
Hoja tangu ni kwamba isingetosha kuandika Rais wa Yanga mpaka atajwe jina Hersi ?
Hersi akiwa likizo au anaugua Urais wa Yanga utasimama mpaka arudi ofisini?.
 
Kesi inatakiwa ielekezwe Kwa CEO wa yanga sio Rais
Inayoshtakiwa ni secretariet ya yanga sio hers said

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
TFF ni wajinga ndio maana walitoa adhabu ya kimhemko eti milioj 20 na miaka miwil so n wajinga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kuingia uwanjani sio kujihusisha na mpira ??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Inategemea na tukio linalofanyika uwanjani

Mtu anaweza kodi uwanja kwa ajili ya kumvisha pete demu wake, haina maana manara akiingia awe considered kwa kuvunja sheria

Lakini hata kuingia tu uwanjani kwenye tukio la kimpira bado kuna mazingira yanayoweza kuonesha yuko sahihi kisheria

Mfano angeingia halafu akakaa jukwaani kwa mashabiki asingekuwa amevunja sheria

Kwenye ishu ya jana, yes nakubaliana kuwa kuingia uwanjani na kusherehesha ni kujihusisha na shughuli za kimpira ambazo alifungiwa
 
Yaan hii ngoma Hadi ieleweke Sabu makosa yalishafanyika kwenye hukumu ya manara so yanga haiwez kuiheshimu tff

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.

Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?

Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?

Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
Manara kuingia uwanjani sio kujihusisha na mpira tuanzie hapo ..??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wakienda kwenye kamati wameumia. Dawa wasiende tu tuone watafanya nini?. Wakijitia hamnazo kuwafungia wasitii huo upambavu wao.
Tuone wataiteremsha daraja?
Una kichaa wewe. Unadhani kususia mashtaka ndo kinga ya kutohukumiwa?

Tena bora utii wito huenda adhabu ikawa ndogo ila kutotii ndo adhabu itakuwa kubwa zaidi.

Timu inaweza kushushwa daraja na tayari wadhamini kama sportpesa, gsm na wengineo wameweka mzigo wanataka faida.

Sasa hapo kinachoendelea ni hatari kubwa maana timu inaenda kupotea kabisa kwenye uso wa dunia.

Ukumbuke adhabu inapotolewa huwa nakala inapelekwa Caf na Fifa hivyo usipotii adhabu ya shirikisho la ndani basi adhabu ya Caf ama Fifa ni kubwa na mbaya mno.
 
Kesi inatakiwa ielekezwe Kwa CEO wa yanga sio Rais
Inayoshtakiwa ni secretariet ya yanga sio hers said

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umekutwa na simu ya wizi ambayo mtumiaji halali wa hiyo simu aliuwawa

Polisi wame track simu wamekunasa, we unaanza kusema "ilitakiwa wamkamate aliyeniuzia simu na sio mimi maana sihusiki"

Ni kweli unaweza kuwa uhusiki ila hauweza ukaachwa lazima usombwe kyisaidia mahakama mpaka wampate muhusika.
 
Umejikaza kabisa na kuchamba juu usinuke mavi kwamba kujua kingereza ndio una akili?
Akili yako haina utofauti na manara rangi tu zimewatofautisha
Morison jana hakukosea kusema yanga wengi mmekimbia shule
Nyie wadada rudini insta huku jf sio sehemu yenu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…